britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kila siku nasema haya ndio maneno ya siasa kwenye hoja za msingi?Basi tuseme toka Tanzania imeumbwa uchumi wa Watanzania haujakua!
Uzuri wa Tanzania kila mtu ni mchumi!
Jack of all trades, master of none!
Maelezo mafupi, mepesi kabisa na ya kueleweka. Wasipokuelewa tena ujue tu kwamba wanataka uwaambie wanachotaka wao. Asante umeeleza nilichotaka kuandikaNafikiri kabla hujaongea lazima ujue tofauti ya national prosperity
Na individual prosperity
Vyote vinaangaliwa hapo
Nchi inaweza ikaendelea lakini watu wake masikini ...na watu wanaeza endelea lakini nchi masikini...
Basi tuseme toka Tanzania imeumbwa uchumi wa Watanzania haujakua!
Uzuri wa Tanzania kila mtu ni mchumi!
Jack of all trades, master of none!
Kama unataka mshahara mkubwa soma ulingane na huyo anayepata mshahara kukuzidi..nyongeza haitakufikisha popote, au acha kuajiriwa ukajiajiri mwenyewe ujilipe unavyotaka..bora utumwa wa mwili kuliko utumwa wa akili, acha kazi kama haikulipi, wapo watakaofanya hiyo kazi bila kujali nyongeza ya mshahara..malalamiko ya nini.Mtamtetea sana Meko lakini hamtafanikiwa.
Ukweli ni kwamba hakuna mtanzania anayeshangilia majigambo yenu ya kujenga madaraja, hii inatokana na ukweli kwamba raia wameishi maisha magumu sana katika awamu hii ikilinganishwa na awamu zilizotangulia.
Meko ni mbinafsi sana. We uliona wapi inachukua miaka mitano watumishi wa umma wanatumikia wananchi pasi kupewa nyongeza ya mshahara wala kupandishwa madaraja!?
OkayNafikiri kabla hujaongea lazima ujue tofauti ya national prosperity
Na individual prosperity
Vyote vinaangaliwa hapo
Nchi inaweza ikaendelea lakini watu wake masikini ...na watu wanaeza endelea lakini nchi masikini. Ndyo tunavoongelea uchumi kukua tunaongelea uwezo wa nchi kuboresha miundo mbinu na social services na hilo ndiyo linaleta individual prosperity...
So nchi kujenga madaraja ,barabara ,mabwawa ya umeme,hospital....na hivi ndyo vinastimulate personal or individual prosperity.....
Huwez kufanya biashara nyingi Kama hakuna umeme....so umeme unazalisha ajira milion (jiulize biashara zote zinazotegemea umeme stationaries,viwanda,ufundi machenika,utengezaji wa vifaa vya ujenzi,juices,vinywaji baridi,maduka ya samaki,n.k....kwakweli huwezi tenganisha maendeleo ya biashara ya mtu na umeme
Barabara zinawezesha wakulima kusafirisha mahindi maharage,mifugo au bidhaa kutoka eneo moja had jingine....jiulize kusingekua na barabara nzur vitu mjini vingekuaje Bei zake tusingeweza kuishi....miundo mbinu inavokua mizur ndivo inakua rahisi kusafirisha bidhaa na Bei inakua chini
Sasa unavoniambia barabara na miundo mbinu haifanyi nchi kuendelea nakushangaa. Sehemu zote ambazo watu wanapesa na wanauwezo wa kujikimu utaona miundo mbinu na huduma za jamii ziko vizur
Mfano Dar es Salaam linganisha na Lindi...tofaut iko hapo....
So usitudanganye hamna nchi inayogawa hela kwa raia kukuwezesha ununue vitu....nchi zote dunia na serikali zote zinatengeneza mazingira ,kuboresha miundo mbinu na huduma watu waweze kuwekeza,kuzalisha ajira na kufanya biashara na hivo kua na pesa
Hahaha hahahabritanicca,
Kwa hiyo hao watanzania wewe ndio unawanunulia hayo mahitaji yao?
Na kama hawapati hivyo vitu mbona hawana utapia mlo?
ExactlyMtamtetea sana Meko lakini hamtafanikiwa.
Ukweli ni kwamba hakuna mtanzania anayeshangilia majigambo yenu ya kujenga madaraja, hii inatokana na ukweli kwamba raia wameishi maisha magumu sana katika awamu hii ikilinganishwa na awamu zilizotangulia.
Meko ni mbinafsi sana. We uliona wapi inachukua miaka mitano watumishi wa umma wanatumikia wananchi pasi kupewa nyongeza ya mshahara wala kupandishwa madaraja!?
BritaNamshangaa yeyote anayejinasibu kukuza uchumi wakati bado hali ya Watanzania waliowengi ni maskini hawana uwezo wa kununua hata mahitaji muhimu.
PPP ya Tanzania inazidiwa na Kenya, Rwanda, Uganda
Maswali ya Msingi
1. Wangapi wana uwezo wa kufanya mahemezi ya kila siku.
2. Wangapi Waliokuzunguka wana uwezo wa kwenda dukani kununua sukari, Unga, Mchele na Mafuta ya Kula.
3. Wangapi wana uwezo wa kununua hata hayo maji ambayo ni wajibu wa serikali kuyaleta?
Britannica
GDP per Capita PPP in Kenya is expected to reach 6008.00 USD by the end of 2024, according to Trading Economics global macro models and analysts expectations. In the long-term, the Kenya GDP per capita PPP is projected to trend around 6344.00 USD in 2025 and 6731.00 USD in 2026, according to our econometric modelHiyo PPP yako umeitoa wapi? hujui kuwa ya bongo ni zaidi ya Kenya, actually TZ inaongoza in the region kwa PPP kubwa
In short Infrastructure investment na vingine vinakuja automaticallyNafikiri kabla hujaongea lazima ujue tofauti ya national prosperity
Na individual prosperity
Vyote vinaangaliwa hapo
Nchi inaweza ikaendelea lakini watu wake masikini ...na watu wanaeza endelea lakini nchi masikini. Ndyo tunavoongelea uchumi kukua tunaongelea uwezo wa nchi kuboresha miundo mbinu na social services na hilo ndiyo linaleta individual prosperity...
So nchi kujenga madaraja ,barabara ,mabwawa ya umeme,hospital....na hivi ndyo vinastimulate personal or individual prosperity.....
Huwez kufanya biashara nyingi Kama hakuna umeme....so umeme unazalisha ajira milion (jiulize biashara zote zinazotegemea umeme stationaries,viwanda,ufundi machenika,utengezaji wa vifaa vya ujenzi,juices,vinywaji baridi,maduka ya samaki,n.k....kwakweli huwezi tenganisha maendeleo ya biashara ya mtu na umeme
Barabara zinawezesha wakulima kusafirisha mahindi maharage,mifugo au bidhaa kutoka eneo moja had jingine....jiulize kusingekua na barabara nzur vitu mjini vingekuaje Bei zake tusingeweza kuishi....miundo mbinu inavokua mizur ndivo inakua rahisi kusafirisha bidhaa na Bei inakua chini
Sasa unavoniambia barabara na miundo mbinu haifanyi nchi kuendelea nakushangaa. Sehemu zote ambazo watu wanapesa na wanauwezo wa kujikimu utaona miundo mbinu na huduma za jamii ziko vizur
Mfano Dar es Salaam linganisha na Lindi...tofaut iko hapo....
So usitudanganye hamna nchi inayogawa hela kwa raia kukuwezesha ununue vitu....nchi zote dunia na serikali zote zinatengeneza mazingira ,kuboresha miundo mbinu na huduma watu waweze kuwekeza,kuzalisha ajira na kufanya biashara na hivo kua na pesa
Kuna mabwanyenye lakini kuna middle class, Tanzania hakuna Middle classbritanicca,
Vigezo vya uchumi wa nchi kukua vinawekwa na kupimwa na World Bank, siyo na Britannica! World Bank imeshautambua uchumi wa nchi yetu umekuwa hadi kufikia level ya wa middle income country. Wewe badala ya kufurahi unapinga hilo na kuja na vigezo visivyo na kichwa wala miguu!
Tambua kwamba hata huko kwenye nchi za uchumi wa juu kama Amerika na Ulaya wako watu wengi tu kupita hata kwetu ambao ni masikini wa kutupwa. Utajiri wa mtu mmoja unategemea na juhudi zake za kufanya kazi. Hakuna serikali ye yote hapa duniani inayogawia wananchi wake bure sukari, mchele, unga, maharage nk.
Usipofanya kazi ni haki yako kufa au kubaki masikini wa kutupwa daima. Hata vitabu vitakatifu vinasema hivyo na JPM kila mara anawakumbusha hilo. Watu wachape kazi. Tuna ardhi kubwa yenye rutuba tele ambayo kila mmoja wetu kuweza kulima, tofauti na nchi hizo za amerika na ulaya ambako ardhi ni ndogo na inamilikiwa na mabwanyenye wachache tu.
Mkuu Interested Observer, ukitoa data, weka na the source.GDP per Capita PPP in Kenya is expected to reach 6008.00 USD by the end of 2024, according to Trading Economics global macro models and analysts expectations. In the long-term, the Kenya GDP per capita PPP is projected to trend around 6344.00 USD in 2025 and 6731.00 USD in 2026, according to our econometric model
GDP per Capita PPP in Tanzania averaged 2459.61 USD from 1990 until 2023, reaching an all time high of 3580.78 USD in 2023 and a record low of 1670.81 USD in 1994. This page provides - Tanzania GDP per capita PPP - actual values, historical data, forecast, chart, statistics, economic calendar and news.