Kukua kwa Uchumi siyo madaraja na miundombinu tu, bali PPP (Purchasing Power Parity)

Naona mmefunguliwa koki za kufisadi sahizi kimya tu. Mnajipigia mahela kila kona PPP imekuwa ya uhakika LC300 zinanunulika kwa kasi
 
Kama hawana uwezo wa kununua walime hata mchicha wauze. Watanzania tunajirudisha nyuma kwa kutaka kununua kila kitu. Hii siyo sawa, tunatakiwa tuzalishe ili tuwauzie wengine. Kumpima mtu kwa uwezo wake wa kununua siyo sawa, tupime kwa uwezo wa kuuza.

By the way mimi niliishi kwenye Kijiji ambacho unaweza kukaa wiki mbili tujanunua kitu sababu magimbi, asali, maziwa, mchele mnazalisha wenyewe.
Vingi vinavyotuongezea umaskini Tanzania siyo basic needs bali wants
 
Mkuu hizi taarifa chanzo chake nni?
 
Mama amekuza uchumi wa watu, sasa hivi hata barabarani tunapishana na ndinga zenye namba E za kutosha
Huo ndio umaskini wa kwanza. Hizo ndinga zingekuwa zinazalishwa na KP motors ya Tanzania ingekuwa tofauti
 
Huo ndio umaskini wa kwanza. Hizo ndinga zingekuwa zinazalishwa na KP motors ya Tanzania ingekuwa tofauti
Waziri wa mambo ya fedha ndio kasema tumepiga hatua, hata benki siku hizi foleni zimekuwa nyingi

Your browser is not able to display this video.
 
Bahati Mbaya CCM wamejikita kwenye maendeleo ya vitu, na hawataki maendeleo ya watu. Nchi nyingi huwa zina Balance kote kote, China ina Project za kuondoa umasikini vijijini kwa kuwawezesha watu kaunzisha viwanda vidogovidogo na pia ufugaji na kilimo.

Tanzania hilo halipo tuko busy na madaraja.
 
Huo ndio umaskini wa kwanza. Hizo ndinga zingekuwa zinazalishwa na KP motors ya Tanzania ingekuwa tofauti
Hizo akili unazo muelezea anazo? yaani wanafurahia Importation, hili ni Taifa pekee linalo furahia kiwango cha juuu kabisa cha Importations
 
Mama amekuza uchumi wa watu, sasa hivi hata barabarani tunapishana na ndinga zenye namba E za kutosha
Mitumba au unaamnisha Namba E za Serikali? Mitumba tu ni Dalili za Full Umasikini, ni kipimo tosha kabisa, na pia naona mnahamasisha sana Importations
 
Sikilia nenda Fuatilia Mipango ya India au China au nchi zingine za Asia kwenye kuondoa umasikini, China haondoi umasikini kwenye Raia wao kwa kuwajengea Barabara na Madaraja. China anaondoa umasikini wa vipato kwa kuwawezesha Raia wake kuanzisha viwanda vidogo, ufugaji na kilimo.

Tanzania mnadanganywa sana kwamba mkisha wekewa Rami umasikini unaootea wenyewe.
 
Sasa mkuu Black ulichoandika na nilichoandika kina tofauti gani? Mimi sijaandika mambo ya madaraja au barabara. Mimi nimeandika tunatakiwa kupima kwa wananchi kuongeza uzalishaji! Soma tena mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…