anonymousafrica
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 611
- 640
- Thread starter
-
- #21
kwasababu ni kizazi cha mtu hatari (tupac) alikua anaikashfu serikali kila siku, kwahiyo alikua anadhorotesha ujinga wa serikali na jeshi lake, ukiwaacha wengine kati yake waishi ni sawa na kufuga wakina tupac 200. Na hawakuanza kumuua tupac tu, wameanza na kina Lenon waliopiga vita madawa ya kulevya, bob marley na wengine kibaoAisee safi sana
Hao outlaws kwanini walikuwa wanatafutwa ili wauwawe ??
BAHATI kubwa kwa ambao munaISHI HUKO... musiipoteze hiyoPete O'neal anaishi embaseny karibu na Usa river, pia huwa anafanya charity kwa jamii iliyomzongukaa na pale kwao wana Library kubwa ya vitabu huazimisha wanafunzi au unaweza kwenda kujisomea na kuondoka.
ahsante sana nduguNimetoka na kitu ahsante mkuu
Kwenye ngoma za chindo za zaman uyo mzee yupo sana na mama CharlotteNi wamarekani waliokimbilia TZ miaka ya 1970, walipata watoto nafikiri wakiwa Tanzania...... hongera kama umepata kukutana nao, nimepost picture hapo juu ya mzee O Neal na mke wake
Ahsante T14, karibu ufuatilie makala zingine humuhumu jfHistoria yenye mashiko. Pongezi sana kwa mleta mada.
Pamojaahsante sana ndugu
karibu sana
F giver
Nadhani wengi walio kimbilia kenya sehemu iliyo kuwa karibu na wao zaidi ni arushaArusha ni mji mmoja uliokaa kiarakati sana ndo maana wanaharakati wengi kutoka mambele hupenda kufika.
Inaweza kuwa ni sababu pia..Nadhani wengi walio kimbilia kenya sehemu iliyo kuwa karibu na wao zaidi ni arusha