Hali ilipofika kwa sasa wabunge wa bunge la ccm lililopita bila kupingwa mambo sio mambo.
Humo ndani ni vikumbo tu. Hakuna Mbunge ana mhehimu mwenzake.
Mawaziri nao wanawona wabunge kama ni hamna kitu. Wanawajibu wanavyojisikia.
Huku wananchi hawana habari kabisa na Bunge.
Yaani watu wako bize kusikiliza mahojiano ya Tundu Lissu na vyombo vya habari lakini sio Bunge.
Siku za nyuma sherehe za ccm february 5 kila mwaka zilikuwa zina vuma sana. Leoni kama hakuna kilichotokea.
Wabunge wa bunge la 2020 hakuna wanachoweza zaidi ya kujadili Uganga kwa mujibu wa Dr Mwigulu