Kukumbushia... wabongo jamani duh!

hivi jani likishadondoka huwa linarudi tena mtini?
 

Vipi wako akienda kukumbushia?
 

Wenyewe wanasema kiporo hakihitaji moto mwingi....lol
 
Si lazima stress, kukumbushia kuna sababu nyingine nyingi tu.

Sasa mnyimane nini wakati mnajuana? Uanze kumdengulia wakati labda siku hiyo kakosa au kazidiwa?

Mkishakuwa na mahusiano mnakuwa kama karanga tu, mnaonjana any time bana.

This is a new revelation to me...kwahiyo haya mambo yanafanyika sana basi.
 
Kukumbushia mara nyingi huwa ni faida zaidi ya hasara kwani ni HESHIMA ndiyo inaplay big part.Si kwamba kuna upungufu au kutoridhika na mapenzi yaliyopo ni roho ilipenda zaidi. Mambo ya kuzingatia ni USIRI. Yes i said!

Hivi kuna usiri kwenye mambo ya wanadamu chini ya jua?
 
Kwangu mtazamo uko like this...bygones are bygones....hakuna kurudi nyuma ntageuka mnara wa chumvi. Salamu na kutakiana heri hakuna tatizo
 
ha haa haa...Always take time to remember the memorable happy times and redo what made u happy ! kukumbushia nafasi ikiwepo sio mbaya. wenye wake na waume jitahidi kumweka mwenzio mbali na wazamani wao maana wakikutana habari inakuwa habari historia inaonyesha labda kama waliachana vibaya.
 
naomba definition ya u.ma.la.ya tafadhali.
Ni hali ya kugongwa na Mwanaume zaid ya Mmoja kwa kipindi kimoja.
Eg wewe Kongosho , ulipogongwa na kale kajamaa hadi uka abort, technically nawe uli practise UMALAYA
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni definition yako.

Maisha ya kimapenzi hayana marking scheme, ni jinsi sipiyu yako inavyo-interpret.

Kwangu mie kukumbushia ni 'Happy Hour'

Ni hali ya kugongwa na Mwanaume zaid ya Mmoja kwa kipindi kimoja.
Eg wewe Kongosho , ulipogongwa na kale kajamaa hadi uka abort, technically nawe uli practise UMALAYA
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…