Kukumbushia... wabongo jamani duh!

Kukumbushia... wabongo jamani duh!

hivi jani likishadondoka huwa linarudi tena mtini?
 
Sijawahi kukumbushia na mpenzi, yaani aliyepita amepita hata kama alinidatisha vipi. Huwa nakinai watu!..tukigongana mitaani ni salamu hata maongezi si zaidi. Sihusudu kabisa vya zamani inapokuja suala la mapenzi!!

Nadhani wengi wanaokumbushia wanakuwa na stress au kuboreka ndo siku anaaamua kumtafuta wa zamani ili apunguze vituz..au mihemko tu inakuwa imechachamalia na kutaka kukumbushia..!

Vipi wako akienda kukumbushia?
 
Kukumbushia muhimu

1. Kunaondoa stress
2. Kunasaidia kubadili mboga bila madhara makubwa
3. Kama ndiye uliyempenda kikweli inakupa kuonja bila gharama.
4. Hutumii nguvu kupanga mashambulizi.

Naona umesahau methali isemayo ' mahawara hawaachani'

Wenyewe wanasema kiporo hakihitaji moto mwingi....lol
 
Si lazima stress, kukumbushia kuna sababu nyingine nyingi tu.

Sasa mnyimane nini wakati mnajuana? Uanze kumdengulia wakati labda siku hiyo kakosa au kazidiwa?

Mkishakuwa na mahusiano mnakuwa kama karanga tu, mnaonjana any time bana.

This is a new revelation to me...kwahiyo haya mambo yanafanyika sana basi.
 
Kukumbushia mara nyingi huwa ni faida zaidi ya hasara kwani ni HESHIMA ndiyo inaplay big part.Si kwamba kuna upungufu au kutoridhika na mapenzi yaliyopo ni roho ilipenda zaidi. Mambo ya kuzingatia ni USIRI. Yes i said!

Hivi kuna usiri kwenye mambo ya wanadamu chini ya jua?
 
Kwangu mtazamo uko like this...bygones are bygones....hakuna kurudi nyuma ntageuka mnara wa chumvi. Salamu na kutakiana heri hakuna tatizo
 
ha haa haa...Always take time to remember the memorable happy times and redo what made u happy ! kukumbushia nafasi ikiwepo sio mbaya. wenye wake na waume jitahidi kumweka mwenzio mbali na wazamani wao maana wakikutana habari inakuwa habari historia inaonyesha labda kama waliachana vibaya.
 
naomba definition ya u.ma.la.ya tafadhali.
Ni hali ya kugongwa na Mwanaume zaid ya Mmoja kwa kipindi kimoja.
Eg wewe Kongosho , ulipogongwa na kale kajamaa hadi uka abort, technically nawe uli practise UMALAYA
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni definition yako.

Maisha ya kimapenzi hayana marking scheme, ni jinsi sipiyu yako inavyo-interpret.

Kwangu mie kukumbushia ni 'Happy Hour'

Ni hali ya kugongwa na Mwanaume zaid ya Mmoja kwa kipindi kimoja.
Eg wewe Kongosho , ulipogongwa na kale kajamaa hadi uka abort, technically nawe uli practise UMALAYA
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom