Kukumbushia... wabongo jamani duh!

Kukumbushia... wabongo jamani duh!

.....hivi nyie, mie nadhani mnajikwepesha sum part of the blame,....

Kujikumbushia sio lazima iwe ati ulinogewa, au ulimtamani tena, nk....Wengine wametumia udhaifu wa 'tunda lililoliwa awali' kupata matakwa yao....

Mfano; ulishaachana kitambo na Spouse wako. Siku ya siku bda ya kusumbuana nae sana ada ya shule, au ktk mifano hiyo ....anakupa ahadi mkutane sumwhr akutimizie ahadi...

After "zis and zat" you end up in bed, na kwakuwa ushauona utupu wake several times wala huoni shida sana 'penye udhia,....'

Hapo "ushakumbushia" bana.....na ukizoeshwa kupewa haki yako thru 'uroda' jijue ushageuzwa -MSUKULE!
 
Koh koh ..........nauliza tu hii kumbushia hiii.......... ukiwa huna mtu je wa kupasha kiporo (mwe naiga misemo ya Kongosho) unaruhusiwa kukubali kukumbushia au lah? Maana kama ukiwa tayari na mtu mwingine then wafuatwa eti mtu anataka kukumbushia nawe wamkubalia naona kama haijakaa sawa vile!

...."kama huna wa kukumbushia, unaruhusiwa kukubali kukumbushia"..... MwanajamiiOne hebu tulia uiweke sawa hii soulmate...maana kiporo tofauti na mlo wa kila siku mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
Hilo ni pepo la ngono.Hayo ndiyo matatizo ya kufanya ngono zembe,halafu unakuta mtu anafanya hizi ngono zembe anakuja kuingia ktk ndoa bila kutubu kwahiyo unakuta lile pepo langono bado lipo.Natumaini kama ukitubu na unampenda Mumeo/mkeo huwezi kukumbushia.Na sioni sababu ya kukumbushia.
 
.....hivi nyie, mie nadhani mnajikwepesha sum part of the blame,....

Kujikumbushia sio lazima iwe ati ulinogewa, au ulimtamani tena, nk....Wengine wametumia udhaifu wa 'tunda lililoliwa awali' kupata matakwa yao....

Mfano; ulishaachana kitambo na Spouse wako. Siku ya siku bda ya kusumbuana nae sana ada ya shule, au ktk mifano hiyo ....anakupa ahadi mkutane sumwhr akutimizie ahadi...

After "zis and zat" you end up in bed, na kwakuwa ushauona utupu wake several times wala huoni shida sana 'penye udhia,....'

Hapo "ushakumbushia" bana.....na ukizoeshwa kupewa haki yako thru 'uroda' jijue ushageuzwa -MSUKULE!

Mbu umefungua 'pandora box' lol
 
Soulmate ahaa, sasa umenielewesha vizuri. Kama ni hivyo ni kweli kwa mie ambaye nilikuwa msukule kwa muda nadhani nilishakuwa 'malaya' kama tukichukulia mtazamo wa Smiles.......................

But sometimes si kuwa wakumbushia kwa kuwa unapenda kukumbushia pengine mwingine anakumbushia kwa malengo eti? Mfano naapa 'Nikikumbushia nataka kukupagawisha hujapata ona@ lengo hapa linakuwa nini??
 
...."kama huna wa kukumbushia, unaruhusiwa kukubali kukumbushia"..... MwanajamiiOne hebu tulia uiweke sawa hii soulmate...maana kiporo tofauti na mlo wa kila siku mpenzi.
................Asa Soulmate ndo umenchanganya madesa kabisaaa........But Mbu nimekuelewa kuwa kukumbushia si kuwa ulinogewa sana na ndo mana wataka kukumbushia hii ni kitu ambacho wengi wetu hatukielewi vema. Nathubutu kusema kuwa wanawake wengi ambao wakifuatwa na wapenzi wao wa wazamani hufikiria kuwa huko aliko ameyakosa mahabaye ndo mana kashindwa vumilia!......Wengi hufanya hivyo kwa ile mantiki ya .......Mahawara hawaachan, au mtalaka hatongozwi.

So Mwanakijiji uelewe kuwa just like it is for some men going for call-gals au wale wa pale kona bar, it is the same kwa wale wanaowakumbuka wapenzi wao wa zamani na kuwataka wakumbushie - tofauti ni kuwa wale wa kona bar ni wa fanyabiashara na mteja unawezaukawa huwafahamu na itakubidi ununue bidhaa ila wa zamani yeye ni gharama ya kumtafuta alipo (kama si kumpigia simu na kumwelekeza umkute wapi).

But wanaume hivi hakuna wanawake wanaoomba wapenzi wao kukumbushia? Hawa mtasema wanafanya hivi kwa kuwa walikuwa wanafikishwa vizuri na hao ma-ex but is it the only reason?
 
Last edited by a moderator:
naomba definition ya u.ma.la.ya tafadhali.

Nionavyo mimi
Umalaya/Ukahaba ni hali ya Mtu Mume au Mtu Mke kujamiiana na Mtu Mke au Mtu Mume bila ya ndoa halali. Umalaya au UKahaba umegawanyika katika makundi mawili

1) Mzinzi -Ni Mtu Mume au Mtu Mke mwenye ndoa halali kujamiiana na Mtu Mke au Mtu Mume
mwenye au asiye na ndoa halali
2) Mwasherati -Ni Mtu Mke au Mtu Mume asiye na ndoa halali kujamiiana na Mtu Mume au Mtu
Mke pia asiye na ndoa halali
Mithali 6:20 -Mwanangu Shika maagizo ya baba yako, Wala usiiache sharia ya mama yao, 21-
Yafunge ktk moyo wako daima, Jivike shingoni mwako....................24 -Yakulinde
na mwanamke mwovu, asikupate ....... 26 -Maana kwa malaya mtu hutiwa katika
hali ya kuhitaji kupande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo
ya thamani.
Mithali 6: 32-33 -Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, Afanya jambo litakalo
mwangamiza nafsi yake. Apata jeraha na kuvunjiwa heshima, Wala fedheha
yakehaitafutika
Mithali 9: 17 Maji yaliyoibiwa ni matamu Na mkate ulioliwa kwa siri hupendeza. Lakini humo
hujui ya kuwa wafu wamo humo

And more interestingly:

Proveb 7:1-27
1 My son, keep my words
and store up my commands within you.
2 Keep my commands and you will live;
guard my teachings as the apple of your eye.
3 Bind them on your fingers;
write them on the tablet of your heart.
4 Say to wisdom, "You are my sister,"
and to insight, "You are my relative."
5 They will keep you from the adulterous woman,
from the wayward woman with her seductive words.
6 At the window of my house
I looked down through the lattice.
7 I saw among the simple,
I noticed among the young men,
a youth who had no sense.
8 He was going down the street near her corner,
walking along in the direction of her house
9 at twilight, as the day was fading,
as the dark of night set in.
10 Then out came a woman to meet him,
dressed like a prostitute and with crafty intent.
11 (She is unruly and defiant,
her feet never stay at home;
12 now in the street, now in the squares,
at every corner she lurks.)
13 She took hold of him and kissed him
and with a brazen face she said:
14 "Today I fulfilled my vows,
and I have food from my fellowship offering at home.
15 So I came out to meet you;
I looked for you and have found you!
16 I have covered my bed
with colored linens from Egypt.
17 I have perfumed my bed
with myrrh, aloes and cinnamon.
18 Come, let's drink deeply of love till morning;
let's enjoy ourselves with love!
19 My husband is not at home;
he has gone on a long journey.
20 He took his purse filled with money
and will not be home till full moon."
21 With persuasive words she led him astray;
she seduced him with her smooth talk.
22 All at once he followed her
like an ox going to the slaughter,
like a deer[a] stepping into a noose
23 till an arrow pierces his liver,
like a bird darting into a snare,
little knowing it will cost him his life.
24 Now then, my sons, listen to me;
pay attention to what I say.
25 Do not let your heart turn to her ways
or stray into her paths.
26 Many are the victims she has brought down;
her slain are a mighty throng.
27 Her house is a highway to the grave,
 
ni kwel "jana" imepita na tupo "leo" LAKINI si kuna good memories za jana ambazo leo hazpo?? Samahan kwa kuulza
 
Soulmate ahaa, sasa umenielewesha vizuri. Kama ni hivyo ni kweli kwa mie ambaye nilikuwa msukule kwa muda nadhani nilishakuwa 'malaya' kama tukichukulia mtazamo wa Smiles.......................

But sometimes si kuwa wakumbushia kwa kuwa unapenda kukumbushia pengine mwingine anakumbushia kwa malengo eti? Mfano naapa 'Nikikumbushia nataka kukupagawisha hujapata ona@ lengo hapa linakuwa nini??

....dahh, umenikata stimu zote MwanajamiiOne....hukuwa 'malaya' bana, you were only a victim of circumstances...
Arrgh, ushaichakachua thread...utamu wote kwisha. Am out...
 
Last edited by a moderator:
Kuna rafiki yangu alitafutwa na mke wa mtu, akajipeleka mwenyewe, akaomba kukumbushia na ombi lake likatiiwa.

Inasikitisha sana ila hiyo ni hulka ya baadhi ya watu ambao hata sidhani iwapo hua wanafikiria hasara au kitu kingine chochote zaidi ya ile starehe ya dakika kadhaa. Acha waendelee. . .siku yakiwakuta yakuwakuta ndipo watakapojifunza kuwa kukumbushia ni akili kama unajiandaa kwa mtihani na sio uwapo kwenye mahusiano/ndoa.
well said dada haina maana kabisa
 
Nionavyo mimi
Umalaya/Ukahaba ni hali ya Mtu Mume au Mtu Mke kujamiiana na Mtu Mke au Mtu Mume bila ya ndoa halali. Umalaya au UKahaba umegawanyika katika makundi mawili

1) Mzinzi -Ni Mtu Mume au Mtu Mke mwenye ndoa halali kujamiiana na Mtu Mke au Mtu Mume
mwenye au asiye na ndoa halali
2) Mwasherati -Ni Mtu Mke au Mtu Mume asiye na ndoa halali kujamiiana na Mtu Mume au Mtu
Mke pia asiye na ndoa halali
Mithali 6:20 -Mwanangu Shika maagizo ya baba yako, Wala usiiache sharia ya mama yao, 21-
Yafunge ktk moyo wako daima, Jivike shingoni mwako....................24 -Yakulinde
na mwanamke mwovu, asikupate ....... 26 -Maana kwa malaya mtu hutiwa katika
hali ya kuhitaji kupande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo
ya thamani.
Mithali 6: 32-33 -Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, Afanya jambo litakalo
mwangamiza nafsi yake. Apata jeraha na kuvunjiwa heshima, Wala fedheha
yakehaitafutika
Mithali 9: 17 Maji yaliyoibiwa ni matamu Na mkate ulioliwa kwa siri hupendeza. Lakini humo
hujui ya kuwa wafu wamo humo

And more interestingly:

Proveb 7:1-27
1 My son, keep my words
and store up my commands within you.
2 Keep my commands and you will live;
guard my teachings as the apple of your eye.
3 Bind them on your fingers;
write them on the tablet of your heart.
4 Say to wisdom, “You are my sister,”
and to insight, “You are my relative.”
5 They will keep you from the adulterous woman,
from the wayward woman with her seductive words.
6 At the window of my house
I looked down through the lattice.
7 I saw among the simple,
I noticed among the young men,
a youth who had no sense.
8 He was going down the street near her corner,
walking along in the direction of her house
9 at twilight, as the day was fading,
as the dark of night set in.
10 Then out came a woman to meet him,
dressed like a prostitute and with crafty intent.
11 (She is unruly and defiant,
her feet never stay at home;
12 now in the street, now in the squares,
at every corner she lurks.)
13 She took hold of him and kissed him
and with a brazen face she said:
14 “Today I fulfilled my vows,
and I have food from my fellowship offering at home.
15 So I came out to meet you;
I looked for you and have found you!
16 I have covered my bed
with colored linens from Egypt.
17 I have perfumed my bed
with myrrh, aloes and cinnamon.
18 Come, let’s drink deeply of love till morning;
let’s enjoy ourselves with love!
19 My husband is not at home;
he has gone on a long journey.
20 He took his purse filled with money
and will not be home till full moon.”
21 With persuasive words she led him astray;
she seduced him with her smooth talk.
22 All at once he followed her
like an ox going to the slaughter,
like a deer[a] stepping into a noose
23 till an arrow pierces his liver,
like a bird darting into a snare,
little knowing it will cost him his life.
24 Now then, my sons, listen to me;
pay attention to what I say.
25 Do not let your heart turn to her ways
or stray into her paths.
26 Many are the victims she has brought down;
her slain are a mighty throng.
27 Her house is a highway to the grave,

Full gospel, atakaye kukumbushia na aende mwenyewe!
 
sio siri kukumbushia raha sana tena ndio ukute kama binti ana ujauzito ile kitu inakuwa ya moto alf taaamuu.
 
Khaaaaaaa! hivi mnashabikia hata wale walioko kwenye ndoa ruksa kukumbushia na X wao?
 
Zimwi likujualo . . . .

Wakati mwingine it is just for fun hakuna la maana
Basi tu mnaamua kufanya hivyo

Haiumizi akili kama mtu mpya kuanza kusomana sijui nini lol
 
Yaani hii tabia imeshamiri sana kwa wabongo! Mi nadhani ni tamaa tu cause hakuna mapenzi hapo bali kufurahisha mwili tu!..
 
Back
Top Bottom