Kukurupuka kwa Serikali Kuanzishwa kwa Mitihani ya watumishi waliokazini

Outsiders

Member
Joined
Apr 22, 2024
Posts
26
Reaction score
35
Kiukweli suala la kukosa mitaala ya elimu iliyothabiti ni janga la Taifa,,, leo hii serikali na watendaji wake wakuu wanakurupuka kuanzisha mifumo isiyokua na Tija katika mustakabali wa taifa;

1. Mfumo wa ESS ulianzishwa kwa dhumuni la kupima utendaji kazi wa mtumishi baada ya kuondolewa mfumo uliokuwepo wa OPRAS.

2. Leo hii katibu mkuu anajitokeza na kusema kuwepo kwa mitihani ya kupima watumishi kabla hawajapandishwa vyeo na kabla hawajathibitishwa kazini, ni jambo ambalo haliingi akilini, maana huyo mtumishi mpaka aitwe mtumishi kishapita level za uanafunzi wa taaluma yake na level zingine makazini mfano kuna on job training,, na baadhi ya taaluma zina Licence Examination,, CPD point.

3. Serikali ije iseme imegundua nini kupitia mfumo wa ESS ambacho hakipo sawa hadi kufikiri suala la mitihani kwa waajiriwa??

4. Kitendo cha kuanzishwa kwa mitihani hiyo ni kuongeza gharama zisizo za lazima na matumizi ya serikali,, Serikali imejipanga vipi katika hili ili hali mtumishi huyo anaetarajia kufanyishwa mitihani anadai stahiki zake ??

IMG-20250730-WA0014.jpg
 
Usiogope hakuna cha mtigani wala nini.

Sheria zinatungwa bungeni, hiyo yake imetungwa lini?

Huwezi kuamu tu ukaanza kuweka mitihani.

Unamtahini nani?
Inafanyika wapi na lini, level gani, mtunzi nani, msimamizi nani, msahihishaji nani?

Nikishindwa nini kinafuata nafukuzwa kazi au napunguzwa mshahara?

Walikataa mitihani ya taaluma hao hao, leo watuletee mitihani ya kupanda madaraja ili iweje?

Wangeanza na certifications za taaluma zote including wana siasa, sio sisi tu.

Law school waliiondoa baada ya!wao kushindwa.

Leo tena hata sijui wameamkia wapi?
 
Stupid tuu hao ,majitu mazima yanajiita na PhD harafu hayawezi kufikiria ki smart

Nonsense
 
Ni namna tu ya kuiba rasilimali za nchi
 
Kama kawa kama dawa muafrica ni nayni aliye changamka changamka.🤣🤣🤣🤣
 
Ukipata madaraka unajisahau sana, sasa utendaji kazi wa mtu unapimwa Kwa mtihani au matokeo ya kazi anayofanya ofisi husika?

Kama mitihani mpaka inafika stage ya kuajiriwa watu wameshafanya sana hakuna jipya, kwanza ni nani anayetunga hiyo mitihani kama mtu akiwa mwanafunzi tu alikuwa na uwezo wa kupata mitihani Tena ya taifa sembuse akiwa kazini analipwa ?
 
Mitihani kwa mawaziri, wabunge na hasa rais lilikuwa la kuanza nalo!
 
Ukipata madaraka unajisahau sana, sasa utendaji kazi wa mtu unapimwa Kwa mtihani au matokeo ya kazi anayofanya ofisi husika?

Kama mitihani mpaka inafika stage ya kuajiriwa watu wameshafanya sana hakuna jipya, kwanza ni nani anayetunga hiyo mitihani kama mtu akiwa mwanafunzi tu alikuwa na uwezo wa kupata mitihani Tena ya taifa sembuse akiwa kazini analipwa ?
Wanajitahidi kuweka kila aina ya mikwamo ili wabaki wanakula wao na familia zao,, maana hata hiyoo nyongeza ya mshahara ni shiling ngapi hadi iwekewe mitihani ??
 
Tuache utoto, mambo ya mitihani ni ya kitoto.

Mtumishi anapimwa kwa matokeo ya kiutendaji na sio mtihani wa MULTIPLE CHOICE.

Chief mkwawa alipigwa kitanzi mwaka........ a)1986 (b) 1950 (c) 1980

Hapo BICHWA KOMWE naweka C. Nafukuzwa kazi.

We katibu acha ujinga wako. Kama huna kazi njoo ulishe nguruwe wangu machicha ya nazi.
 
Usiigope hakuna cha mtigani wala nini.

Sheria zinatungwa bungeni, hiyo yake imetungwa lini?

Huwezi kuamu tu ukaanza kuweka mitihani.

Unamtahini nani?
Inafanyika wapi na lini, level gani, mtunzi nani, msimamizi nani, msahihishaji nani?

Nikishindwa nini kinafuata nafukuzwa kazi au napunguzwa mshahara?

Walikataa mitihani ya taaluma hao hao, leo watuletee mitihani ya kupanda madaraja ili iweje?

Wangeanza na certifications za taaluma zote including wana siasa, sio sisi tu.

Law school waliiondoa baada ya!wao kushindwa.

Leo tena hata sijui wameamkia wapi?
Bunge lipi mkuu unalolizungumzia?

Serikali ikipeleka hoja pale na ikalazimishe ipite hakuna wa kuikataa.

Kiufupi mfumo wetu hauna pingamizi acha tuendelee kusikiliza na kujisomea tu daily.
 
Hivyo waliisha ipeleka hoyo hoja bungeni?
 
Back
Top Bottom