Kukutana kwangu na "Deep Throat" wa Madina, Handeni 2014

Kukutana kwangu na "Deep Throat" wa Madina, Handeni 2014

Mokaze,
Unadhani nitapata maziko makubwa?

Maziko makubwa yaliyopata kutokea Dar es Salaam ni haya yafuatayo:

Maziko ya Sheikh Idrissa bin Saad, Sheikh Kaluta Amri Abeid, Abdulwahid Sykes, Sheikh Kassim bin Juma, Mzee Kitwana Dau na Sheikh Ilunga Kapungu.

Na Shekhe Ilunga naye yumo?
 
Kadhi...
Ukionekana uso umejaza ndevu na kanzu yako fupi wameshakutambua kuwa wewe ni Ansar kwa hiyo unatakiwa kuhojiwa huko uendako Handeni ndiyo makazi yako au unatembelea ndugu na jamaa?

Ikiwa hukai huko nini kinakupeleka na watahitaji kuwajua wenyeji wako.

Hakika kilikuwa kipindi kigumu sana kwa Waislam wa Handeni.

Is it by accident that Handeni has been the target? Kweli Hakuna siasa kali na mambo y kigaidi? Mkuu wa mkoa wa Tanga ni nani? Hii story yako ni ya mwaka gani?
 
Is it by accident that Handeni has been the target? Kweli Hakuna siasa kali na mambo y kigaidi? Mkuu wa mkoa wa Tanga ni nani? Hii story yako ni ya mwaka gani?
Tangawizi,
Toka ilipopitishwa Sheria ya Ugaidi 2001 mahakama haijaweza kupata ushahidi wa kumtia mtuhumiwa yeyote hatiani.

Hayo yalitokea 2014.

Hayo maswali mengine sina majibu.
 
Kwa hiyo nini kiliendelea baada ya hapo @ Kaka? [emoji2369]

Maana wakati mwingine lisemwalo lipo kama halipo laja au lilishapita!
 
Kama jambo linahatarisha afya ya maisha yako ya nini kulifanya, Kama tatizo ni madevu na suruali fupi kwanini usiache?
 
bhachu,

Mimi wala sikupata kujua ''Deep Throat,'' hii uliyoweka hapa.

Mimi jina hili la Deep Throat nimelitoa katika ile kashfa ya Watergate yule mtu aliyewapa wale waandishi wawili ile siri.

Ili kumlinda asijetambulika wakampa jina la kupanga la ''Deep Throat.''

Hukusoma post yangu kwa mazingatio kwani ungelifanya hivyo ungetambua kuwa sikukusudia hayo ambayo wewe umeyaweka hapa.

Nimetoa Google hiyo hapo chini naamini itakusaidia kujifunza:

''How did Woodward and Bernstein get the story?

Woodward and Carl Bernstein were both assigned to report on the June 17, 1972, burglary of the headquarters of the Democratic National Committee in a Washington, D.C., office building called Watergate. ... Woodward said he would protect Deep Throat's identity until the man died or allowed his name to be revealed.''
 
Aisee mimi nilijua ni ile deep throat nyingine 😂😂😂😂😂 kabala sijaangalia jina la mleta mada.
 
Ila Waislamu ni we.hu sana na akili zao ni fi.nyu mno

Labda kwa baadhi lakini siyo wote! Na hiyo ipo hata kwenye dini nyingine kwamba siyo wote wenye akili timamu!

Sema hizo dini nyingine kinachowafanya kueleweka miongoni mwa jamii ni kule kutokuwa na mafundisho yenye visasi.

Kuna Waislam wengine wako vizuri sana kuanzia akili mpaka moyo safi!

Wapo ambao wahapendi Shari wala visasi.

Wanaamini ktk kumwachia Mungu mwenyewe ahukumu apendavyo! (Allah Wakil).

Wapo ambao hawakubaliani na maswala ya ugaidi kabisa na hawapo tayari kutetea ugaidi isipokuwa wanaogopa kuwapinga hadharani maana nasikia wakisikia unawapinga wanakutafuta kutaka kukuua !

Visasi ni vibaya sana!
 
Akili...
Mwaka wa 2006 nilialikwa Chuo Kikuu cha Ibadan Nigeria kulikuwa na mkutano kuhusu ugaidi na na nilitoa mada.

Nilieleza tatizo la ugaidi kama linavyohusiana na Tanzania.
Ukipenda ingia hapo chini:

Nipatie lenye tafsiri ya Kiswahili tafadhali kwa wepesi zaidi kwa manufaa ya wengi!
 
Akili...
Sina.tafsiri ya Kiswahili bahati mbaya sana.

Naomba ukipata nafasi uiandike kwa tafsiri ya Kiswahili itakuwa na wepesi ziadi ktk kusomeka na wengi na kueleweka pia!

Lakini pia wakati tunasubiri nakala ya tafsiri ya kiswahili Naomba uniambie kwa kifupi maudhui ya andiko lako ni yepi haswa ? Na hitimisho lake!
 
Bahati mbaya siwezi.kufanya hayo.
 
Navipongeza vyombo vyetu vya Dola na Usalama kwa kuwa Proactively hata sasa ktk ku detect viashiria vya ugaidi na kuchukua tahadhari mapema kabla ya hatari.

Ijapokuwa wasiridhike na hali iliyopo, waendelee kuweka mifumo ya ku detect viashiria mapema kila mahali mijini na vijijini.

Nani ambaye angezani ya Bihawana Sekondari?

Maafa ya tokanayo Ugaidi ni mabaya sana hayaelezeki.

Wekeni mifumo au kama tayari ipo ipitieni mara kwa mara kuona kama inahitaji updates zozote ili muweze kuwa mbele ya adui siku zote!

Mfano Afisa usalama wa Wilaya awe ana mfumo wa kupata taarifa za wageni wale wenye kutiliwa shaka wa mitaani na kwenye majengo ya ibada za dini, mashuleni , majirani.

Kuna wageni fulani ambao hawaeleweki mtaani !

Mtaani kuna watu hawajui Kiswahili wala kiingereza mfano wanajielewa fungia wanaona kuna mtu maalum anapelekaga chakula tu.

Kwanini jirani wasijiulize maswali au kutoa taarifa kwa mjumbe na hatimae uongozi ngazi za juu?

Mradi kuwepo na usiri mkubwa!
 
Mohamed Said
Umesababisha nachekwa sana hapa mtaani wakati naulizia maana halisi ya "Deep Throat" . Kweli ww ni mbunifu. Makala zako siku zote zinanifungulia macho kuchungulia ulimwengu wa "batuni".Nakushauri upate "ijaza" kwa ma bwana wa kubwa wa taswaufi. ...
 
Back
Top Bottom