Mokaze,
Unadhani nitapata maziko makubwa?
Maziko makubwa yaliyopata kutokea Dar es Salaam ni haya yafuatayo:
Maziko ya Sheikh Idrissa bin Saad, Sheikh Kaluta Amri Abeid, Abdulwahid Sykes, Sheikh Kassim bin Juma, Mzee Kitwana Dau na Sheikh Ilunga Kapungu.
Kadhi...
Ukionekana uso umejaza ndevu na kanzu yako fupi wameshakutambua kuwa wewe ni Ansar kwa hiyo unatakiwa kuhojiwa huko uendako Handeni ndiyo makazi yako au unatembelea ndugu na jamaa?
Ikiwa hukai huko nini kinakupeleka na watahitaji kuwajua wenyeji wako.
Hakika kilikuwa kipindi kigumu sana kwa Waislam wa Handeni.
Tangawizi,Is it by accident that Handeni has been the target? Kweli Hakuna siasa kali na mambo y kigaidi? Mkuu wa mkoa wa Tanga ni nani? Hii story yako ni ya mwaka gani?
Tangawizi,Na Shekhe Ilunga naye yumo?
Ni na extremist. Ngumu sana kwako kuacha.Kama jambo linahatarisha afya ya maisha yako ya nini kulifanya, Kama tatizo ni madevu na suruali fupi kwanini usiache?
Ila Waislamu ni we.hu sana na akili zao ni fi.nyu mno
Akili...Labda kwa baadhi lakini siyo wote! Na hiyo ipo hata kwenye dini nyingine kwamba siyo wote wenye akili timamu!
Sema hizo dini nyingine kinachowafanya kueleweka miongoni mwa jamii ni kule kutokuwa na mafundisho yenye visasi.
Kuna Waislam wengine wako vizuri sana kuanzia akili mpaka moyo safi!
Wapo ambao wahapendi Shari wala visasi.
Wanaamini ktk kumwachia Mungu mwenyewe ahukumu apendavyo! (Allah Wakil).
Wapo ambao hawakubaliani na maswala ya ugaidi kabisa na hawapo tayari kutetea ugaidi isipokuwa wanaogopa kuwapinga hadharani maana nasikia wakisikia unawapinga wanakutafuta kutaka kukuua !
Visasi ni vibaya sana!
Akili...
Mwaka wa 2006 nilialikwa Chuo Kikuu cha Ibadan Nigeria kulikuwa na mkutano kuhusu ugaidi na na nilitoa mada.
Nilieleza tatizo la ugaidi kama linavyohusiana na Tanzania.
Ukipenda ingia hapo chini:
ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT 8 th – 10 th FEBRUARY 2006 Venue University of Ibadan Conference Centre ...mohamedsaidsalum.blogspot.com
Akili...Nipatie lenye tafsiri ya Kiswahili tafadhali kwa wepesi zaidi kwa manufaa ya wengi!
Akili...
Sina.tafsiri ya Kiswahili bahati mbaya sana.
Akili...Naomba ukipata nafasi uiandike kwa tafsiri ya Kiswahili itakuwa na wepesi ziadi ktk kusomeka na wengi na kueleweka pia!
Lakini pia wakati tunasubiri nakala ya tafsiri ya kiswahili Naomba uniambie kwa kifupi maudhui ya andiko lako ni yepi haswa ? Na hitimisho lake!