T11 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 5,101 Reaction score 4,560 Jan 16, 2021 #41 Ambition plus said: Kama jambo linahatarisha afya ya maisha yako ya nini kulifanya, Kama tatizo ni madevu na suruali fupi kwanini usiache? Click to expand... [emoji23][emoji23]
Ambition plus said: Kama jambo linahatarisha afya ya maisha yako ya nini kulifanya, Kama tatizo ni madevu na suruali fupi kwanini usiache? Click to expand... [emoji23][emoji23]
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Jan 16, 2021 Thread starter #42 T11 said: [emoji23][emoji23] Click to expand... T11, Kufuga ndevu ni suna na ni sehemu ya ibada kwa Waislam na halikadhalika kuvaa suruali au kanzu juu ya vifundo vya miguu.
T11 said: [emoji23][emoji23] Click to expand... T11, Kufuga ndevu ni suna na ni sehemu ya ibada kwa Waislam na halikadhalika kuvaa suruali au kanzu juu ya vifundo vya miguu.
T11 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 5,101 Reaction score 4,560 Jan 16, 2021 #43 Mohamed Said said: T11, Kufuga ndevu ni suna na ni sehemu ya ibada kwa Waislam na halikadhalika kuvaa suruali au kanzu juu ya vifundo vya miguu. Click to expand... Aah ok, mambo ya imani hayo Sawa
Mohamed Said said: T11, Kufuga ndevu ni suna na ni sehemu ya ibada kwa Waislam na halikadhalika kuvaa suruali au kanzu juu ya vifundo vya miguu. Click to expand... Aah ok, mambo ya imani hayo Sawa