Kukuweka mkono kwenye nyeti

Sasa huo ndo ustaarabu gani jamani?! Mibaba ya dizaini hii ndo inayotembea na mahouse girl kwa makusudi halafu yanasingizia eti wife mvivu......ovyoooooo!!! Siku nyingine akikuita mtemee mate usoni!
 
ninyi si huwa mnalalamikia size? sasa jamaa anataka upime mwenye kabsaa!!
Kama ndo hivyo basi wasivae kitu chochote kule ndani halafu watembee ivoivo waziwazi bila kufunga zipu ili tuwe tunaona vizuri kabisa!!
 
Kama ndo hivyo basi wasivae kitu chochote kule ndani halafu watembee ivoivo waziwazi bila kufunga zipu ili tuwe tunaona vizuri kabisa!!

Ahahahahaaaaahh!!! Hapo watu si mtakimbiana barabarani, maana nyingine zinatisha hazitazamiki...
 
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?
Sasa we Vaislay, mbona unauliza ukiwa ushapata jibu. Si umesema anataka kukutongoza! Hiyo anakupa pre-message. Resiponse yako ndo itamwambia go a step further....
 
Madingi ya siku hizi usanii mwingi, yanamitego kweli teh!
 
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?

Nilidhani unataka kuzungumzia wale wanaoshikaga hapo kwa dudu kama vile wasanii wa ubongo wa fleva!
Ila hii sijawahi kuisikia kbs!
Kweli ukistaajabu ya Musa....!
 
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?

anakupatia ujumbe ya kuwa yeye hataki mzaha.......ni ngono tu imemvuta kwako........lol
 
lol, nimecheeeka hadi wa2 wananishangaaa, jamani mtatulaza hooi kwa vicheko, dah!
 
dunia hii sasa inaelekea pabaya;wanaume wamedanganya mpaka wanakosa maneno wanaanza vitendo.dume latembelea mke wa mtu amkuta kakaa na mumewe, baada ya kuongea anaanza kumlambia lipsi mke wa mtu tena kwa kuiba mwente mke asione,we si unajiamini bana lamba hiyo midomo yako mwenye mali akuone,vipi tena kakaz na mababaz?????
 
may be inakuwa imetoka nje ya boxer wanataka kuireplace pahala pake.
hahahahaha! Jamani, ndio watumie mikono ya wenzao. Kama zinatoka toka nje inabidi wawe wanazifunga na kamba zitulie..
 
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?

Asee!!!!
Ushawahi kutongozwa na watu wangapi wa aina hii Vaislay?
 
hahaha NK nimecheka kweli, in a way nilidhani kwamba ni wa muda zaidi ya hapo kumbe wa juzi juzi tu, unastahili kabisa kuwa nyumba ndogo LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…