Paradisehome
Senior Member
- Sep 3, 2017
- 145
- 143
Matokeo yake tumempa mchunga ng'ombe usukan ambaye anatamani tajiri awe maskini Kama yeye unatarajia nini hapo mkuu??Trump mfanyabiashara alianza kutoa ajira miaka mingi sana.huku nchi za kiafrica mfanyabiashara akitaka nafasi ya uongozi anaoneka anataka kuwaibia wananchi wa taifa lake. Tunataka wale ambao hawana kitu. Kama mtu alishindwa kujisimamia mwenyewe atawezaje kuwasimamia wenzake waende mbele kimaendeleo.Mtu huyo huyo amabaye anataka aongoze ajira Maisha yake yote aliajira hadi anapata huo uongozi.Je atapata wapi huwezo wa kufikiria kuandaa ajira kwa wenzake?