Paradisehome
Senior Member
- Sep 3, 2017
- 145
- 143
Kwema huko mwakwenu wandugu?
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kwa nn Africa kitu kinaitwa kianzio ni changamoto kwa % kubwa?
Tatizo ni nn?
Za chini chini zinasema kuwa kwa muda aliongoza Bw. Trump ameongeza ajira nchini kwa asilimia 24 hivyo imefanya watu wa hali ya chini kupata ajira na kujipatia kipato!
Kwa Africa nini tatizo?
Anayejua naomba mdadafuo,
Karibu