SI KWELI Kukwangua vocha kwa vidole ni hatari kunasababisha kansa kwa sababu zina kemikali ya Silver Nitro Oxide

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
ATTENTION!
Medical research authority of the US have found new cancer in human being caused by silver nitro oxide.

Whenever you buy recharge cards dont scratch with nails as it contains
silver nitro oxide coating and can cause skin cancer.

Share this msg with your loved ones.
---
Naye Bata batani mwaka 2012 aliuliza:
 
Tunachokijua
Tangu mwaka 2011 kulikuwa na ujumbe uliokuwa unasambaa mitandaoni hasa FaceBook na WhatsApp ukitahadharisha tabia ya watu kukwangua vocha kwa kutumia kucha zao kwa madai zina kemikali inayoitwa Silver Nitro Oxide inayoweza wasababishia kupata kansa ya ngozi. Ujumbe huo unaeleza kuwa Madaktari Marekani wamebaini kuwa vocha ina kemikali ya Silver Nitro Oxide inayosababisha kansa ya ngozi.

JamiiCheck imefatilia vyanzo mbalimbali na kubaini kuwa kwamba ujumbe huo ulianza kusambaa mitandaoni mwishoni mwa mwaka 2011 na kusambaa zaidi kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2012 na kuendelea baada ya kuanza kuchapishwa na kutafitiwa na kurasa mbalimbali.

Aidha, JamiiCheck pia imebaini kuwa baada ya Ujumbe huu kusambaa mashirika mbalimbali ya uhakiki wa habari yakiwamo AFP, The New India Express, Consumerizim, 211 Check, ambao wamefanya uchunguzi na kubaini kuwa madai hayo hayana ukweli. Katika uchunguzi wao wote wamebaini kuwa hakuna kemikali ya Silver Nitro Oxide katika kadi za vocha kama ujumbe huo unavyodai.

Mathalani, katika uchunguzi wa AFP wanaeleza kuwa
Madai kuhusu kuwapo kwa aina mpya ya kansa ni ya uwongo; wataalam waliwaambia AFP Fact Check kupitia barua pepe Juni 13, 2020 kwamba "Hakuna kemilaki inayoitwa'silver nitro oxide'" msemaji wa Shirika la Ulinzi wa Mazingira la Marekani (EPA).
AFP Fact Check ilifanya utafutaji wa rekodi katika database ya Wakala wa Kimataifa wa Utafiti juu ya Kansa (IARC), shirika la serikali linaloendeshwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) linaloratibu utafiti kuhusu visababishi vya kansa lakini katika orodha yake hiyo hakuna kemikali ya Silver Nitro Oxide inayotajwa.
Nao, 211 Check hawatofautiani na AFP ambao katika uchunguzi wao pia wamebaini kuwa hakuna kemikali inayoitwa Silver Nitro Oxide ambapo wao wamefanya utafiti wao kwa kuwahusisha wataalamu wa kutengeneza madawa na kemikali PubChem na ChemSpider ambao pia wanafafanua kuwa hakuna kemikali yoyote inayoitwa Silver Nitro Oxide.

JamiiCheck pia imepitia ukurasa wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Marekani (CDC) ambao wao wanaeleza kuwa Kansa ya ngozi inasababishwa zaidi na miale ya jua na vyanzo vingine lakini haijataja kabisa kuhusu kemikali ya Silver Nito Oxide.

Hivyo kutokana na hoja na tafiti hizo JamiiCheck inakubali kwamba hoja inayodai kukwangua vocha kwa kucha kunaweza kusababisha kansa haina ukweli.
Mi sijasikia kuhusu huo
ugonjwa ila nishasikia kuwa haifai kukwangulia voucher kutumia kucha za
vidole maana zile chembe chembe zina madhara..

Madhara gani Heart? Maana mimi ndio zangu,coin natumia mara chache sana.
 
Waje wapi sasa? kwani TBS na ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali ni members wa JF? Ungekuwa msamaria mema ungeenda kuwauliza afu utuletee majibu hapa ili sisi vichwa maji tupate kuelewa.

Kama vipi Ujanja ni kununua airtime kwa MPesa, Tigo pesa et el.

Wanaweza wakawepo humu as individual staff hivyo nadhani gfsonwin alikuwa anawahamasisha watiririke, humu si thread mbalimbali zenye utaalamu mbalimbali hivyo tuna imani wapo wataibuka wataleta nondo za uhakika kuliko hizo third party
 
Last edited by a moderator:
hamia vocha za kurusha ndugu yangu
 
Watanzania tunatakiwa kujua kuwa wazungu sio ndugu zetu kabisa, nimejionea mwenyewe baada ya kutoka nje ya nje kimasomo, wanasema "we are too cheap, tajiri mmoja tu anaweza kuhonga serikali nzima!, Loh!, nashikwa na hasira. Halafu hizi kampuni za kibiashara za kimataifa ndo washirika wakubwa wa nchi zilizoendelea, na wana-influence kubwa sana katika maamuzi mengi ya serikali mbalimbali.Hivyo hata kama jambo ni la kweli lakini linaonekana kuingilia maslahi ya biashara zao, wako tayari kuhonga wataalamu ili wafanye tafiti kwa ajili ya maslahi yao. wako radhi watu wafe, especially ngozi nyeusi. kama hawa jamaa wangekuwa na nia ya kutusaidia, hakika kwa utajiri tulionao tungekuwa tumeshatoka. Angalia Marekani alivyoipiga tafu ulaya baada ya vita vya dunia (Marshal plan), baada ya muda Europe ikawa shari. Wanatuua kila siku, angalia watu wanavyokufa huko migodini-Barrick, serikali imeshanunuliwa!. Poor Tanzania!!!!
 
hahahahha! mzima weye Asprin????
nakumisije sasa? ila aliyekuficha this time amekuweza full kukaa chimbo sijui ni mavibration na mfyonzo umezidi huko ama ni deki?
Hahahaha......... nani huyo mwenye jeuri ya kunificha?

Hapo kwa red, hivi kumbe eh? Nlikuwa sijui asee.
 
Kwa nini bado hawajagundua kwamba wao ndio walioanzisha AIDS walipokuwa wanafanya research for a biological weapon against their enemies. Yes,friends,the US Army invented AIDS.

Maadui zao ambao ni waislamu!!!!!!
 
Asante sana Mkuu. Umetusaidia sana. Kumbe TBS, TDFA et al ni vibaka tu hawana lolote la maana. Wao ndiyo walitakiwa kutoa tamko rasmi kuhusu hii msg ambayo karibu kila mwenye simu ameshaipata wakati fulani.
 
Maadui zao ambao ni waislamu!!!!!!
Maadui zao sio Waislamu. Ilikuwa ni amri imetolewa kwa US Army kutafuta weapon ambayo itadhuru immune system ya maadui. Congress Appropriation Committee ikatoa 10 miliion dollars ili research ifanyike,at this Army Base,jina nimelisahau,I am writing this off the top of my head.Halafu ile weapon ikapatikana,and then it was perfected in East Germany to make it ready for use. Halafu[read this carefully],WHO,World Health Organization, mixed this HIV virus with the small pox vaccine,na makusudi,ikaletwa Africa to infect everyone.
At the same time,New York Blood Bank,ikaweka HIV katika hepatitis B vaccine na kuwadunga homosexuals.
Details zake kama unataka kufuatilia,I can post them tommorrow,which amry base made the research,which doctor[it was a friend of Karlo Wotila,John Paul 2],nad the ref. no to get the Apprpriations bill which set it all in motion.
 
nimesoma chemistry lakini sijawahi kusikia kitu kama hicho.labda chemistry imebadilika sana miaka hii

huyu mwalimu hata mi nimemshangaa kwa kweli! Ndo chemistry wanayofundishwa wadogo zetu siku hizi? Mwl wa science kweli kuna silver nitro oxide?
 
eebu tupeni ukweli wadau kama vp tutatumia m pesa na tigo pesa
 







[TABLE="class: share-block, width: 310"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[TD] Tweet[/TD]
[TD]


[/TD]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
253
VIEWS

16
RECOMMENDS

1
SHARES


About this iReport
Not vetted for CNN



Posted August 4, 2011 by
Rogen

| Follow




More from Rogen



[TABLE="width: 320"]
[TR]
[TD="align: left"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


More iReports you should see



[h=2]Scratch Card Cause Skin Cancer?[/h]By Rogen | Posted August 4, 2011




One of the most important discussion going on social networking media including facebook is about virus causing by scratch card..It seems like this
ATTENTION. .....Medical research Authority of the US have found that new cancer in human beings caused by 'Silver Nitro oxide'. Whenever u buy recharge cards or calling cards don't scratch them with ur nail as it contain 'silver nitro oxide' coating and can cause skin cancer. Copy and paste this status and spread awareness please

According to online edition of Engineers World no such study havent been made yet.According to them these are internet gossips.They have contacted many of the scratch card manufactures.Silver Nitric oxide have been used in manufacturing & they dont know anything about silver nitro oxide.Chemical Engineers confirmed that Nitric oxide commonly known as laughing gas have no such side effects leading to skin cancer.According to them only drawbacks they found are
Read more
http://engineersworldonlin​e.com/News.html



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…