Hivi bandugu kwa nini wawake wanapenda waume zao wale nyumbani?
Yaani usipokula nyumbani utakuwa umekula nje?
Mkigombana ugomvi ukiisha lazima ule! usipokula ugomvi haujaisha!
Akitaka ku-appreciate kitu, lazima atakupa ule?
Je, KULA ndio kipimo cha mapenzi?