Esperance
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 364
- 84
Kajifungue kwanza, ndo tutaongea
we si hauwezi uhuni?? Sijui umeibukia wapi lol.:washing:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajifungue kwanza, ndo tutaongea
aaahaaaaaaaaaa kuuumbeeenadhani hamjaelewa "KULA" inayo-ongelewa na mtoa mada...KULA YA KI-KUBWA
we si hauwezi uhuni?? Sijui umeibukia wapi lol.:washing:
Tatizo hapo ni tafsiri tu, sasa hebu Jesuit tusaidie umemaanisha chakula gani hapo? maana binafsi naona hapo inamaanisha chakula cha kawaida kama ugali, wali nk tusaidie mkuuHivi bandugu kwa nini wawake wanapenda waume zao wale nyumbani?
Yaani usipokula nyumbani utakuwa umekula nje?
Mkigombana ugomvi ukiisha lazima ule! usipokula ugomvi haujaisha!
Akitaka ku-appreciate kitu, lazima atakupa ule?
Je, KULA ndio kipimo cha mapenzi?