Kula chips kwa wingi kuna punguza wingi wa shahawa

Kula chips kwa wingi kuna punguza wingi wa shahawa

kimanuamanua

Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
80
Reaction score
15
Nilikuwa nikipitia jarida moja linalo zungumzia "Health Effects of Uranium" nikakutana na kipengele kinachogusia madhara ya Uranium kwa binadamu na vyakula tunavyokula. Viazi vikaonekana ni moja ya vyakula vyenye wingi wa madini ya Uranium kuliko vyakula vingine, na madhara ya Uranium kwenye mwili hupunguza wingi wa shahawa

Soma: The Ecyclopedia of Earth-Health Effects of Uranium
Exposure to Uranium: ....Root vegetables, such as beets and potatoes, tend to have a bit more uranium
than other foods....

Health Effects of Uranium: ....Very high doses of uranium have caused reproductive problems (reduced
sperm counts) in some experiments with laboratory animals....

Nawakilisha!!!
 
Uranium kwenye viazi?...au unaongelea kama viko contaminated na radioactive material but uranium,no way.
 
Wingi wa shahawa wa nn mkuu, kwani unanyesha shamba
 
Huruma ni kwa wale wanaohitaji kutumia na kuproduce. Tulio maliza kazi hiyo, chips kuku raha yetu.
 
Back
Top Bottom