surubu kwetu
Member
- May 13, 2014
- 59
- 12
Nimekuwa nakula na kunywa damu ya mbuzi,kondoo,ng'ombe pindi tunapochinja. Je kuna madhara ya kiafya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unasema ya mbuzi na kondoo
Mimi napiga ya nguruwe na sungura
MADHARA YAKE NI KWAMBA HAUTAFIKA 2014 UKIWA NA ID HIINimekuwa nakula na kunywa damu ya mbuzi,kondoo,ng'ombe pindi tunapochinja. Je kuna madhara ya kiafya?