Kula Hela ya Mtu Anaetafuta kwa Shida sana Halafu Unamnyima Mchezo ni Roho Mbaya

Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu... Inawezekana huyo rafiki yako ndio alikuwa anaenda kutoa papuchi kwa bodaboda ila alikuzuga tu.
 
Nawaonea sana huruma watu wanaofanya kazi ngumu.
Mf machinga anatembea kwa mguu km zaid ya 20 na hajauza kitu.
Hela ya mtu hata ukiila mheshimu, mjali.
Sasa mtu anakula hela na bado anazingua
 
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu... Inawezekana huyo rafiki yako ndio alikuwa anaenda kutoa papuchi kwa bodaboda ila alikuzuga tu.
Labda ila haiwezekani
 
Rafiki yangu kamchukua bajaji anaemtakaga eti ampeleke Tabata Segerea kwa boyfriend bure. Nikamuuliza yani unataka kaka wa watu akupeleke sehemu ya elfu 20 bure kisa tu anakutaka akasema eeeh akome kutongoza asivyoviweza. Nikamwambia aone haya kidogo na huruma maana hiyo unaweza kuta ndo anajazia apeleke hesabu kwa boss akacheka akaondoka tena anasema akifika huko njiani akiona vitu atamwambia amnunulie pia.

Nimumeonea huruma dereva wa watu maskini maana atakua anatumika hivyo hivyo na tamu tamu hatapewa. Kuna watu wakuwalia hela zao hata kama humtaki ila sio dereva wa bajaj halafu hata kumpooza hamna. Ndo maana wanaume huwa wanatuua wakati mwingine wakijua mwanamke anacheat maana wanatafuta kwa nguvu kutuhudumia halafu tunawasaliti.

Wanawake wenzangu ukiona mtu ana kipato chake kidogo na anakipata kwa tabu usile hela yake wapo watu kibao wapigaji na wanafanya kazi nzuri tuwalieni hao.
Shule nzuri aksante sana
 
Na pia kutumia vitu ili umpate mwanamke siwezagi kabisaaa. Nikija kukuomba ukisema sitaki, hayo ya kukupakia kwenye bajaji ili ukamfurahishe dume flan nichukie ni nani kaona? Ntakusubiri kwa kuwa nishajua weye sio bikra. Ukimpata domo zege atumiaye vitu kukupata kula hadi uvimbiwe ili siku unakwama au umeudhiwa kule upate pa kusuuzia
 
Si hamlazimishi mwache amnyonye kila kitu.
 
Na pia kutumia vitu ili umpate mwanamke siwezagi kabisaaa. Nikija kukuomba ukisema sitaki, hayo ya kukupakia kwenye bajaji ili ukamfurahishe dume flan nichukie ni nani kaona? Ntakusubiri kwa kuwa nishajua weye sio bikra. Ukimpata domo zege atumiaye vitu kukupata kula hadi uvimbiwe ili siku unakwama au umeudhiwa kule upate pa kusuuzia
Hutumii kitu ila unafanya kumfurahisha unaempenda.
 
Back
Top Bottom