Kula Hela ya Mtu Anaetafuta kwa Shida sana Halafu Unamnyima Mchezo ni Roho Mbaya

Rafiki yangu kamchukua bajaji anaemtakaga eti ampeleke Tabata Segerea kwa boyfriend bure. Nikamuuliza yani unataka kaka wa watu akupeleke sehemu ya elfu 20 bure kisa tu anakutaka akasema eeeh akome kutongoza asivyoviweza. Nikamwambia aone haya kidogo na huruma maana hiyo unaweza kuta ndo anajazia apeleke hesabu kwa boss akacheka akaondoka tena anasema akifika huko njiani akiona vitu atamwambia amnunulie pia.

Nimumeonea huruma dereva wa watu maskini maana atakua anatumika hivyo hivyo na tamu tamu hatapewa. Kuna watu wakuwalia hela zao hata kama humtaki ila sio dereva wa bajaj halafu hata kumpooza hamna. Ndo maana wanaume huwa wanatuua wakati mwingine wakijua mwanamke anacheat maana wanatafuta kwa nguvu kutuhudumia halafu tunawasaliti.

Wanawake wenzangu ukiona mtu ana kipato chake kidogo na anakipata kwa tabu usile hela yake wapo watu kibao wapigaji na wanafanya kazi nzuri tuwalieni hao.
I Love U
 
Kweli kiranga. Sema mi naona huruma yani. Kuna watu wana hela zao nyingii wanatupa kidogo na game wanapata. Hawa wengine wanatoa kidogo ila cha thamani sana na bado game tunawabania
Ishu Ndogo Tu Hapo
STATUS
 
Unahuruma sana eeehh?? .

Sasa fahamu ya kua mwanamme anakusafiria umbali mrefu na pengine hata kujinyima na kukupa laki tano iki tu akuambukize UKIMWI.

acha kua na Huruma !!.
 
kama watakubaliana hilo sio swala la huruma tena,itakuwa ni ujinga au upumbavu wa huyo dereva bajaji kuna mambo huwa sisi wanaume tukiona tunajua kabisa hapa mambo yataenda hapa hayaendii sasa kama kaamua hivyoo ngoja ubongo uchangamshwee

na huwa asilimia fulani wakitoka huku kijijini wakija dar huwa ndio wanacho waza smart phone wanake na kuvaa
 
Kwa tukio kama hilo kuna watu wanashindwa kucontrol temper matokeo yake mwanamke anauawa kama hivyo
 
Unahuruma sana eeehh?? .

Sasa fahamu ya kua mwanamme anakusafiria umbali mrefu na pengine hata kujinyima na kukupa laki tano iki tu akuambukize UKIMWI.

acha kua na Huruma !!.
Kwani bora nichukue laki 5 anipe ukimwi vizuri eeeh? Hivi hii akili ya kuona wenye hela ndo wana ngoma binadamu mliitoa wapi?
 
Never siwezi kutoa fedha yangu sehemu nisiyopata papuchi toa papuchi nikupe hela hutaki baki na papuchi yangu nami ntabaki na dushelele langu sabuni inatosha[emoji41] [emoji41] [emoji41]

Yani mkuu ubaki navyo vyote viwili? Au mimi ndo sijaelewa comment yako? [emoji31][emoji31][emoji31]
Au una papuchi wewe?
 
kama watakubaliana hilo sio swala la huruma tena,itakuwa ni ujinga au upumbavu wa huyo dereva bajaji kuna mambo huwa sisi wanaume tukiona tunajua kabisa hapa mambo yataenda hapa hayaendii sasa kama kaamua hivyoo ngoja ubongo uchangamshwee

na huwa asilimia fulani wakitoka huku kijijini wakija dar huwa ndio wanacho waza smart phone wanake na kuvaa
Wanekubaliana eeeh wapelekane hiyo safari. Anampeleka beb wake wa mdomoni kwa beb wake anaempenda
 
Yani mkuu ubaki navyo vyote viwili? Au mimi ndo sijaelewa comment yako? [emoji31][emoji31][emoji31]
Au una papuchi wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitu cha kwanza unapomtaka msichana ni kutenganisha utakano wenu na biashara.

Hilo ukifeli, kua mwepesi kusoma alama za nyakati kama hapa nyoka ataingia pangoni au hamna kitu.
 
Wanekubaliana eeeh wapelekane hiyo safari. Anampeleka beb wake wa mdomoni kwa beb wake anaempenda
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
basii ngoja aonyeshwe daslamu ikoje na unatakiwa uweje
 
Huyo mwendesha bajaji nae akome jamani mtu kusoma hujui na picha huoni
 
Rafiki yangu kamchukua bajaji anaemtakaga eti ampeleke Tabata Segerea kwa boyfriend bure. Nikamuuliza yani unataka kaka wa watu akupeleke sehemu ya elfu 20 bure kisa tu anakutaka akasema eeeh akome kutongoza asivyoviweza. Nikamwambia aone haya kidogo na huruma maana hiyo unaweza kuta ndo anajazia apeleke hesabu kwa boss akacheka akaondoka tena anasema akifika huko njiani akiona vitu atamwambia amnunulie pia.

Nimumeonea huruma dereva wa watu maskini maana atakua anatumika hivyo hivyo na tamu tamu hatapewa. Kuna watu wakuwalia hela zao hata kama humtaki ila sio dereva wa bajaj halafu hata kumpooza hamna. Ndo maana wanaume huwa wanatuua wakati mwingine wakijua mwanamke anacheat maana wanatafuta kwa nguvu kutuhudumia halafu tunawasaliti.

Wanawake wenzangu ukiona mtu ana kipato chake kidogo na anakipata kwa tabu usile hela yake wapo watu kibao wapigaji na wanafanya kazi nzuri tuwalieni hao.
mmmhhhhhh
 
Hutumii kitu ila unafanya kumfurahisha unaempenda.

Tumia maneno vizuri wewe ni mwanamke. Umewahi kupenda wewe?? Ukiendelea hivi, si ajab kesho tukasikia; Mzigua hatunaye kwani mume kamnanihiii kwa kitu chenye nja kali. Gawa hata nyumba yetu lakini si pendo langu bibieee
 
Kweli kiranga. Sema mi naona huruma yani. Kuna watu wana hela zao nyingii wanatupa kidogo na game wanapata. Hawa wengine wanatoa kidogo ila cha thamani sana na bado game tunawabania
Sometime game ni kwa status!
 
Back
Top Bottom