Kula huku kula gani?


Naogopa kuwa ubeti wa mwisho hauwakilishi hali halisi kama beti nyengine zinanavyofanya.
Naogopa kuwa bado tutawapa kura zetu hao hao kwani si ndio tunaowaita mashujaa? Mashujaa hao ni kazi kubwatukia Richmong na Meremeta huku wakjiundia milo sasa hata maendeleo ya majimbo wao ndio wawe walinzi ili wateke vyao mapema.
Si tunawajuwa Tunaowaita Mafisadi lakini kwenye chaguzi "mashujaa wetu " wanakuwa mbele kuwaokoa.
Nionavyo mimi Vya wenetu wameshakula na hawana haja ya kutukopa kwani wanajuwa kuwa sisi ni mitaji yao na ikija 2010 tutawapa tena. Kwani hao mashujaa wetu si wao wanaomiliki makampuni ya kutunyonya mbona tunanyamaza kimya?
 
Hongera sana Mkuu mwanakijiji. nina mashaka sana kama watz wanakuelewa kama mmi nilvyokuelewa.nakuthamini sana na husichoke ipo siku watz watakuelewa tu.
 
Hongera Mwanakiji na wengine wote kwa kweli shairi yenu ni mazuuri kusoma na yana ukweli ndani yake.

Mapambano continua. Watz can make changes - yes we can
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…