Kula kula na kutapika katika bus Nini chanzo na suluhisho lake

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kuna mtu kilometer 200 hatembei lazima apate njaa atake kula na biscuits na juice na tunda hazimtoshi yeye hutaka mayai,mahindi,samaki,kuku ,chipsu n.k


Tatizo sasa wengine hutapika ukikaa naye seat moja utashuhudis..Nini chanzo cha Hali hii na victim yampasa azingatie Nini haswa
 
Usile hovyohovyo kama nguruwe wakati wa kusafiri.
 
Mm sipend kula lkn nisipokula kabisa natapika nikaambiwa dawa nikisafiri ninywe hata chai tupu km sitak kula njiani
 
Mm sipend kula lkn nisipokula kabisa natapika nikaambiwa dawa nikisafiri ninywe hata chai tupu km sitak kula njiani
afadhali wewe
Mtu anajua atasafiri anakula makande akiwa njiani anakula mahindi akifika mbele tena soda na mayai
 
afadhali wewe
Mtu anajua atasafiri anakula makande akiwa njiani anakula mahindi akifika mbele tena soda na mayai
😄😄Katika kitu sipendi kula na sitokula njian ni mayai Hata akila mtu yananichefua ila home nakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…