Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania.
Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2449185
Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania.
Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
Kwa urefu huo jumlisha kipande cha rami km 5 pande zote mbili kama kipo.View attachment 2449185
Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania.
Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
Mkuu hii inasaidia nini? Nchi ina Mazezeta wengi na swagwa kama hizi zako ndio zinafanya waendeleee kupiga pesa kwa kuona ni kiwango gani watu hawako Serious
Itafsiri kwa tafakuri utaona maumivu yake.. Sema tu hujaelewa ... Ni hiviMkuu hii inasaidia nini? Nchi ina Mazezeta wengi na swagwa kama hizi zako ndio zinafanya waendeleee kupiga pesa kwa kuona ni kiwango gani watu hawako Serious
Watakuwa wamejenga Mayanga Construction enzi za mwendaji.View attachment 2449185