Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Inasikitisha sana!
Mtu unajawa uzalendo mpaka unamwagika. Unakuja kuona wapumbavu wachache wanaihujumu nchi yao wenyewe kwa tamaa ya mali na fedha.
Ukijiangalia unajiona wewe ni kama tone la mvua linalopiga juu ya bahari. Unaamua tu nawe utafute mpenyo ule kwa urefu wa kamba yako.