mkulungwa02
Senior Member
- May 24, 2020
- 193
- 154
Daah umenikumbusha mbali sana mkuu, niliwai kula mibao sio ya nchi hii na kilio juu kwenda kusema kwa mama[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwana mmoja alishawah dondosha kijiti muda wa mapumzko alipigwa hadi akazimiaDaah umenikumbusha mbali sana mkuu, niliwai kula mibao sio ya nchi hii na kilio juu kwenda kusema kwa mama[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana usiombe upigwe tena na wale waliokuwa wanajikuta wababe wa darasa UTAJUTA
Mieleka mnacheza vizur vile hii kula mbakishie BABA ni habar nyingne
Kuna mwana mmoja alishawah dondosha kijiti muda wa mapumzko alipigwa hadi akazimia
Hatari sana usiombe upigwe tena na wale waliokuwa wanajikuta wababe wa darasa UTAJUTA
Kusalimika ilitegemea mmekubaliana vp, wengine tulikuwa tunaweka mti mkubwa ndio rescue point. Sasa mwanza na nawe yake mpaka uufikie huo mti umechubuka magoti.Tulikuwa na technic . kile kijiti mnakifunga vikamba vingi kwa chini then mnakifukia mchanga mwngi na vile vikamba vinakuwa pande zote za mzunguko wa mchanga ili kuwa wale ambao mwanzoni humega tonge kubwa la mchanga so vile wanajikuta wanapomega wamechukuliza vile vikamba vilivyofungwa na kijiti...
Ngoma inakuja pale umepiga tonge mara paap upepo unavuma na kijiti unakiona taratibu kinadondoka aisee ....
Asa ili usipigwe ukidondosha ni ukimbie na ushike msichana yeyote ndo usalimike.. Kuna kipindi waschana nao walikuwa wanashtuka bas ukianza kuwafukuza nao wanawakimbia kinyama..
Sana