Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah labda kwako yaani APA nna miezi 2sijaonja nyama nazuga kesho nikale nyama uhakika kwenye mkutano was chama ccm Ntazifaidi sanaHata nyama inachosha mkuu
naenda kula mpunga tuh naona Leo wamekuja kualika vijana mtaani upumbavu wao sifuatilii kabisaAhaa kumbe nawe ni mxee wa lumumba
uHahaha na 2020 mtawapa mpunga nao wale kwa msimu mwingine... Nipe nikupe
cshabikii chama chochote cha siasa mkuuHahaha na 2020 mtawapa mpunga nao wale kwa msimu mwingine... Nipe nikupe
mi c mtoto wa mjini mkuuHaya we kale, ila hakuna cha bure mjini hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mboga mboga kila Siku zinachosha mkuu ata CE tunatamani sana hizo nyama
Mboga gani mkuu?Sato ama?MBOGA ZA MAJANI
Utafiti uliofanyika nchini Uingereza umeonesha watu wanaokula mbogamboga pekee wana afya zaidi kuliko wanaokula nyama pekee.
Je, wewe unakula mbogamboga kwa sababu ya umasikini au kuimarisha afya yako ?
😀sato sio mboga mkuu 😀😀
Unakuwa kama mbuzi,😎😎mboga mboga kila Siku zinachosha mkuu ata CE tunatamani sana hizo nyama