Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Wathungu wanasema hana table manners. Waafrika wangeliweza sema hana heshima au adabu, kutegemea umri wake.Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?
...mnh? 😀 ...
...raha ya chakula ni usafi!
Huyo anayekimbilia kukosha baada ya mlo kafundwa vyema.

Mmh, Mwanakijiji una mambo! Nadhani kwa sababu za kiafya kama unakula na kupumzika, ni vyema vyombo vikasafishwa wakati wa mapumziko maana bakteria hawachelewi kupiga kambi kwenye vyombo vichafu!
Siku hizi unaongelea sana chakula, umeanza kwa kukisifia kule kwenye jukwaa la lugha na leo umekuja na hii - kunani?
Annina
...mnh? 😀 ...
...raha ya chakula ni usafi!
Huyo anayekimbilia kukosha baada ya mlo kafundwa vyema.
tangu ujana waliniambia ati napenda sana kula halafu mtu mwenyewe kimbaumbau!
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?
Mmh, Mwanakijiji una mambo! Nadhani kwa sababu za kiafya kama unakula na kupumzika, ni vyema vyombo vikasafishwa wakati wa mapumziko maana bakteria hawachelewi kupiga kambi kwenye vyombo vichafu!
Siku hizi unaongelea sana chakula, umeanza kwa kukisifia kule kwenye jukwaa la lugha na leo umekuja na hii - kunani?
Annina
ni kafumbo kazuri, kametulia japo wajanja wameishakafumbua...................
mambo ya kula na kuosha hutegemea mafundo na kiwango cha uvivu manake wengine tumekutana na wavivu wanaosema wamechoka kuosha na hata kufuta makombo, wansema viache vyombo vikauke wakati tunapumzika halafu vikishakauka tunapakua tena na kuendelea kule .............. vyombo vilevile bila kuoshwa!!!!!!!!!!!! tembea uyaone wa kijiji!!!!!!!!!!!!!!!
Need I say more AK?.... Dont think so! Thanx
Ndo maana kule kwetu huwa tunaambiwa ni vema kuweka thermos ya maji ya vuguvugu chini ya meza ya kulia chakula ili kama unaona uvivu kupeleka kijiko jikoni kuosha basi unatumia maji hayo unasafishia kwenye kibeseni kidogo chini ya meza kisha wakipangusa na kitambaa cha vyombo tayari kutumiwa mara ya pili.
Ila siku hizi mambo ya kitchen za ndani yameharibu mila kama hizi maana mpishi anawezakutegea na kumwacha mlaji kwenda kuosha kijiko chake mwenyewe (bahati mbaya kuna walaji wengine wavivu wanaishia kupangusa vijiko kwenye vitambaa vya meza (table cloth).
Ah Mwanakijiji umenikumbusha mbali leo.
kazi kweli kweli, wakubwa wanaraha saha!Pia si vyema kuendelea kula kama chombo hakina usafi ..huwezi weka chakula katika chombo kichafu ..hata tamu hukinai..