kula na kula tena

kula na kula tena

sawa asante kwa ushauri. Natafuta chakula na sahani yake, will you be generous enough to be my guinea pig?🙄

Ehe! Nimenunua kesi hapa!!
Hebu ngoja nimwulize mlaji mteja kama atakubali nikugaie kidogo lol!!
 
MM,Sio kila chakula kina harufu nzuri kwa mfano kule kwenu KIPOMA na NDILOLO ni tamu kula lakini zikishapowa zinatoa harufu mbaya hivyo ni vyema kama vyombo vikioshwa mara tu round ya kwanza iishapo(first course).Kwa hiyo inategemeana na ulichokula kaka vingine visipooshwa hamu ya kula inakwisha ati.(vinakifu)
 
Ni kweli, hasa kama mlo wenyewe ni three meal course, lazima kwenye kila course mojawapo utumie sahani safi.

Wakati mwingine unakuta chakula ni ''buffet'' ila sahani ni za plastic, huwezi kurudia kupakua mara mbili au tatu kwa kutumia sahani ile ile, kila unapotaka kupakua tena unatumia sahani nyingine!
 
(fasihi andishi) is this sentence from dictionary...
Masaki... nauliza tunaongelea nini hapa...
 
mimi sasa kwa kweli nadhani itabidi tuweke application form halafu tunaweka zile multiple choice.. "unaosha vyombo kabla na baada ya kila mlo".. check
"Unaosha vyombo vyako tu au hata vya mlaji mwenzako"
"Je unaweza kula milo miwili ya papo kwa papo bila kwenda kuosha vyombo?"
"Je mlaji mwenzio akitaka kula kabla hujaosha vyombo utapakua?"

Majibu ya maswali kama hayo yatasaidia kuondoa any "misunderstanding"..

wengine hapo pametushinda kabisa, labda coz ya mafundisho ya mama juu ya upishi, kwamba baada ya kula ugali lazima vyombo vyote vioshe na kufutwa vizuri tayari kwa kuongeza ugali mwingine, sio mie nioshe yeye actake nimsaidie/aoshe mwnyewe mana hapo nitaendelea kula kwa kusuasua sana....pia mnavyozoeshana!

hapo kwenye red kwa kweli hapana, ctampakulia mpaka anawe mikono.
 
chakula, walaji, na vitumikavyo kukila.

mr umezungumzia kuwa chakula hakinaga uchafu, lakini kwa upande mwingine ukiangalia jinc mnavyokula hicho chakula then muendelee bila kuosha vyombo inakuwa ngumu kidogo esp kwa bakuli.
 
mr umezungumzia kuwa chakula hakinaga uchafu, lakini kwa upande mwingine ukiangalia jinc mnavyokula hicho chakula then muendelee bila kuosha vyombo inakuwa ngumu kidogo esp kwa bakuli.

Thats my baby gal..Mrs ni kweli unavosema, mi ninachojaribu kukumbusha hapa ni kwamba tusiwe na dhana kuwa chakula ni 'kichafu'...hakuna uchafu pale....ukidhania uchafu basi hata course ya pili itakinai mapema luv
 
chakula hakiwezi kuwa kichafu hata cku 1, na kama kuna mtu anaona chakula ni kichafu bac huyo hajui mlo vizuri! ishu ni baada ya kula mkitaka kuongeza jamani msafishe bakuli na mwiko hapo mtaendelea kuenjoy chakula ipasavyo.
 
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?

kuna mmoja alikuwa na mchezo huo, basi nilipomjulia ikawa mimi ndio nakula fasta na kumaliza. kinachofuata anaingia tena jikoni na kupika au kama kipo anapakua tena. hapo hata akila kwa spidi mimi sina wasi-nimejishibia zangu.
 
chakula hakiwezi kuwa kichafu hata cku 1, na kama kuna mtu anaona chakula ni kichafu bac huyo hajui mlo vizuri! ishu ni baada ya kula mkitaka kuongeza jamani msafishe bakuli na mwiko hapo mtaendelea kuenjoy chakula ipasavyo.

Kama 'chakula' kisafi, 'bakuli' na 'mwiko' vinachafukaje tena? Kama chakula ni kitamu na walaji ni wajuzi huo muda wa kusafisha vyombo kwa maji katikati ya mlo wanautoa wapi? Na 'meza' nayo inasafishwa katikati ya mlo?
 
(fasihi andishi) is this sentence from dictionary...
Masaki... nauliza tunaongelea nini hapa...

Wewe umesoma shule zipi? Hizi za siku hizi za FM Acamdemia? Maana unegekuwa umesoma zile zetu za Msondo Ngoma Jazz Band lazima ungeshaelewa kinachojadiliwa!
 
Kama 'chakula' kisafi, 'bakuli' na 'mwiko' vinachafukaje tena? Kama chakula ni kitamu na walaji ni wajuzi huo muda wa kusafisha vyombo kwa maji katikati ya mlo wanautoa wapi? Na 'meza' nayo inasafishwa katikati ya mlo?

kwani ukichota chakula na kijiko hakibakiwi na chakula? ndipo panapochafukia....mkimaliza mlo wa kwanza na kupimzika kishuke kidogo mnaweza safisha bakuli na mwiko na kuendelea kula na kuenjoy kama vile ndio mnaanza kula. kweli mie nimeshindwaga kurudia kula bila kuosha bakuli......
 
Kama 'chakula' kisafi, 'bakuli' na 'mwiko' vinachafukaje tena? Kama chakula ni kitamu na walaji ni wajuzi huo muda wa kusafisha vyombo kwa maji katikati ya mlo wanautoa wapi? Na 'meza' nayo inasafishwa katikati ya mlo?

SMU u made ma day 🙂
 
Tunadiskus, kama kuna ulazima wa kusafisha vyombo wakati mnapoendelea kula au la.
thank you man for enlighten me...

sasa jamaa labda ana haraka na anataka kusaidia kukosha sahani yake kabla hajaondoka ...
 
Back
Top Bottom