MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
sawa asante kwa ushauri. Natafuta chakula na sahani yake, will you be generous enough to be my guinea pig?🙄
Ehe! Nimenunua kesi hapa!!
Hebu ngoja nimwulize mlaji mteja kama atakubali nikugaie kidogo lol!!
MM,Sio kila chakula kina harufu nzuri kwa mfano kule kwenu KIPOMA na NDILOLO ni tamu kula lakini zikishapowa zinatoa harufu mbaya hivyo ni vyema kama vyombo vikioshwa mara tu round ya kwanza iishapo(first course).Kwa hiyo inategemeana na ulichokula kaka vingine visipooshwa hamu ya kula inakwisha ati.(vinakifu)
sasa hapa tunadiscuss kitu gani?
sasa hapa tunadiscuss kitu gani?
mimi sasa kwa kweli nadhani itabidi tuweke application form halafu tunaweka zile multiple choice.. "unaosha vyombo kabla na baada ya kila mlo".. check
"Unaosha vyombo vyako tu au hata vya mlaji mwenzako"
"Je unaweza kula milo miwili ya papo kwa papo bila kwenda kuosha vyombo?"
"Je mlaji mwenzio akitaka kula kabla hujaosha vyombo utapakua?"
Majibu ya maswali kama hayo yatasaidia kuondoa any "misunderstanding"..
chakula, walaji, na vitumikavyo kukila.
mr umezungumzia kuwa chakula hakinaga uchafu, lakini kwa upande mwingine ukiangalia jinc mnavyokula hicho chakula then muendelee bila kuosha vyombo inakuwa ngumu kidogo esp kwa bakuli.
sasa hapa tunadiscuss kitu gani?
Thats my baby gal..Mrs ni kweli unavosema, mi ninachojaribu kukumbusha hapa ni kwamba tusiwe na dhana kuwa chakula ni 'kichafu'...hakuna uchafu pale....ukidhania uchafu basi hata course ya pili itakinai mapema luv
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?
chakula hakiwezi kuwa kichafu hata cku 1, na kama kuna mtu anaona chakula ni kichafu bac huyo hajui mlo vizuri! ishu ni baada ya kula mkitaka kuongeza jamani msafishe bakuli na mwiko hapo mtaendelea kuenjoy chakula ipasavyo.
(fasihi andishi) is this sentence from dictionary...
Masaki... nauliza tunaongelea nini hapa...
Kama 'chakula' kisafi, 'bakuli' na 'mwiko' vinachafukaje tena? Kama chakula ni kitamu na walaji ni wajuzi huo muda wa kusafisha vyombo kwa maji katikati ya mlo wanautoa wapi? Na 'meza' nayo inasafishwa katikati ya mlo?
Tunadiskus, kama kuna ulazima wa kusafisha vyombo wakati mnapoendelea kula au la.sasa hapa tunadiscuss kitu gani?
Kama 'chakula' kisafi, 'bakuli' na 'mwiko' vinachafukaje tena? Kama chakula ni kitamu na walaji ni wajuzi huo muda wa kusafisha vyombo kwa maji katikati ya mlo wanautoa wapi? Na 'meza' nayo inasafishwa katikati ya mlo?
thank you man for enlighten me...Tunadiskus, kama kuna ulazima wa kusafisha vyombo wakati mnapoendelea kula au la.