haha make fun of my language ... its just been a while...Wewe umesoma shule zipi? Hizi za siku hizi za FM Acamdemia? Maana unegekuwa umesoma zile zetu za Msondo Ngoma Jazz Band lazima ungeshaelewa kinachojadiliwa!
what you thought is my age ? 🙄Noname kumbe weye ni under 18 eeeh !!
Mtu yeyote mwenye haraka kwenye mlo ndio yule tunamwita kwa kimombo kuwa hana "table manners". Kwa kifupi hiyo ni tabia mbaya dadangu.thank you man for enlighten me...
sasa jamaa labda ana haraka na anataka kusaidia kukosha sahani yake kabla hajaondoka ...
what you thought is my age ? 🙄
acha noma
what you thought is my age ? 🙄
Acha noma
Kushnei
???????????????????
bht hivi hii mada kuna umuhimu wa kuiweka kwenye uhalisia zaidi ..kama ndivyo basi itabidi iende kwenye jukaa la watu wazima
hehehe mzee mwanakijiji ..katuwekea lugha gongana hapa
what you thought is my age ? 🙄
acha noma
Twin simuelewi mpz! nahisi lugha anayoongea huyo dada na mm gongana!leo shemeji yako leo sijui yuko wapi!
Hamna lugha gongana hapa as such!!! mbona kila kitu kiko poa tu (unless one is under 18 as you have said)
FL1 utamu wa fasihi simulizi ni matumizi ya lugha mamii!!!! mie hapa burudani kabisa
Ila kama usemavyo akiweka kwenye ile lugha ya moja kwa moja basi ihamishwe jukwaa maana watoto watakwazika hapa!!
hahaha habari ndo hiyo ..kweli hii mada imegonga moyoni mala nyamayao anasema mie hapo sina la kusema
MJ1 nae anachanganyikiwa ..Kaizer anadai si lazima kuosha vyombo kijijini kwako makande yanaliwa hata awamu tano katika sahani ile ile mradi burudani tosha
lakini mwisho wa siku mie naona kama sahani lazima ikoshwe vema iwe safi inaleta raha kwa mtumiaaji !!
ngoja nicheke tu hapo kwenye bold!! vingine potezea nawe!!!
kuna mahali nimemuona shem tena jiandae ni kule PJ alipokupea mchumba kuleee!!
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?
haswa. chakula bibie wake usafi
hivi ule mlo mmoja kwenye sahani kisha usiisafishe baada ya kupumua kidogo, unatia tena chakula mule mule
aaaaah wapi unaongeza ladha nyingine tofauti kwenye ladha halisi ya msosi bana!!!
ui cnt bliv eti kapiga!