Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,578
- 1,894
Mimi ni mpenz sana wa nyama ya kuku hasa kuku wa kienyeji.Nimekuwa nikila nyama hyo napenda kula mpaka ngozi lakini nimesikia kwa baadhi ya wadau wakisema ngozi ya kuku siyo nzuri kiafya kuila iwe imechemshwa au imekaangwa.
Wanadai baadh ya taka mwili au sumu yoyote inayotoka kwenye mwili wa kuku huwa inahfadhiwa kwenye ngoz yake hvo kuila ni kujitaftia maradhi baadaye japo weng hawasemi ni maradh gan unayapata kwa kula ngoz .
Binafs nimeshuhudia pia baadh ya watu wakipelekewa nyama ya kuku ambaye tayari kachunwa ngoz kwa madai kuwa ngoz ya kuku ni sumu.Naomba kujuzwa wana jf ukweli wa jambo hili na ni madhara yepi yanapatkana kwa kula ngoz ya kuku.Asanteni wadau