Kula samaki: Ushauri

Njoo nyumbani nikupikie!

tatizo sio kupika tatizo ni namna ya kumla aanzie kichwani au mkiani na akalika upande mmoja amgeuze upande wa pili???ebu mjumvye asijeoneka wa mrima huyo!!!!
 
tatizo sio kupika tatizo ni namna ya kumla aanzie kichwani au mkiani na akalika upande mmoja amgeuze upande wa pili???ebu mjumvye asijeoneka wa mrima huyo!!!!

ewaa hapo sawa kabisa apo
 
tatizo sio kupika tatizo ni namna ya kumla aanzie kichwani au mkiani na akalika upande mmoja amgeuze upande wa pili???ebu mjumvye asijeoneka wa mrima huyo!!!!

ewaa hapo sawa kabisa apo

Chonde chonde mkuu kaizer, kwa nijuavyo pwani samaki huliwa akiwa kwenye sahani tena kwa utuliivu kabisa, na kwa utaratibu, usije ukamvunja mkia wala mfupa, wala kumtoa kichwa, analiwa na anaachwa na mfupa wake wa kati kama ulivyo, usije ukafanya uroho wa kula na kuvunja vunja mifupa watakushangaa!
ufundi wake ni kula minofu ya upande mmoja kwanza, ukimaliza usimgeuze "hili ni kosa" samaki hageuzwi, bali kwa tahadhari kubwa unasogeza mfupa wa kati ukiwa mzima umeunganisha kichwa na mkia wake, na hapo utafaidi mnofu wa upande wa pili bila kizuizi na utakuwa umemaliza kumla samaki wako. ukitaka kulamba lamba na kutafuna kichwa na mkia mwishoni kukumbuka mapanki ya kwetu bara kuu hapo tena nyongeza.
 
november juliet oscar oscar november yank uniform mike bravo alfa november india november india kilo uniform papa india kilo india echo

Vipi Preta! Nami naweza kujongea kuufaidi uhondo wa Yaeda Chini; Kumbuka miye mzururaji tu kwahiyo ntafanya KUKUPITIA tu. Wasalaaam
 
Vipi Preta! Nami naweza kujongea kuufaidi uhondo wa Yaeda Chini; Kumbuka miye mzururaji tu kwahiyo ntafanya KUKUPITIA tu. Wasalaaam

kilo alfa romeo india bravo uniform uniform juliet uniform mike uniform india kilo echo india lima alfa uniform juliet uniform echo november alfa mike november alfa yankee alfa kilo uniform lima alfa november golf alfa delta uniform
 
mkuu nitazingatia sana hapo!
 
Samaki uliwa vile unavyopenda kumla, hakuna ufundi wala uwanagenzi... Kula ni kula tu...Hizo nyingine zote ni mbwembwe tu za ulaji.
 
yaani namna ya kula samaki mpaka tuulize humu......!
 
with compliments from Yaeda

duh
nilikua natafuta neno NGADU nimelisikia wapi,,,hahahahaaaaaaaa aisee ni miaka miiingi sana pale kinondoni pembezoni mwa mto/kijito cha maji yatokayo sarenda briji to msimbazi,wengi sana
 
Binamu kuku wa kienyeji umewashindwa unahamia kwenye samaki utawaweza?
 
duh
nilikua natafuta neno NGADU nimelisikia wapi,,,hahahahaaaaaaaa aisee ni miaka miiingi sana pale kinondoni pembezoni mwa mto/kijito cha maji yatokayo sarenda briji to msimbazi,wengi sana

oooh kwa hiyo ngadu walikuwa wanatoka baharini wanakuja kinondoni...saaafi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…