Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
hahaaa Preta acha fix jamani lol!!!
unataka nife kwa kucheka sasa.............
ndo ngadu huyo....ina maana kule ziwa Duluti hujawahi kuwaona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaa Preta acha fix jamani lol!!!
unataka nife kwa kucheka sasa.............
ndo ngadu huyo....ina maana kule ziwa Duluti hujawahi kuwaona?
Pretaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe ndo maana Babla yuko sambamba na wewe !!
ha ha....karibu Arachuga nikupeleke Duluti ukale ngadu
Huyu Ngadu sidhani kama analiwa kwa usalama huyu Preta .......................
anawafaa wewe na PJ
mkuu vp issue yako na nyukliaHivi ni samaki kama samaki au ni mawazo yangu potofu?lol
mkuu vp issue yako na nyuklia
Kaizer kwani kule nyumba ya MUNGU hakuna samaki kaka? mbona unawezakula kama ulavyo kwenu? Au ndo mambo ya ukienda Roma eh?
Haya umepewa majibu hapo juu
1. Ule ikisha umgeuze
2. Umle ikisha toa ule mfupa wa kati ili uendelee kula upande wa pili.
hahahah haya mie yangu macho.