Kula samaki: Ushauri

Kula samaki: Ushauri

FL1 unatutamanisha na huyo samaki

Mi ninavyojua mila za huko, samaki analiwa upande mmoja, ukifika kwenye mwiba wa kati huutoi ila unamgeuza na kuanza kula upande wa pili.

Ndo hivo mnene 1 hili shurti ni lenyewe hasaaa huku kwetu Pwani...
 
Wataalam wanadai samaki hageuzwi, bali unautoa ule mwiba wake wa kati, halafu unaendelea kumla.

Mmh jamani, I hope ni samaki yule yule wa majini ndio tunamzungumzia, isije ikawa kuna tafsida ndani yake!

KAZI YOTE YA NINI DINA UKIKUCHOMA WAKATI WA KUTOA?:gossip:
 
kwa nini Dina..mi nimetoka bara ndo maana.....nilikuwa namgeuza tu ndo nimestuka...

Hata najua sababu basi, na wala sikuhangaika kuuliza. Mind you 'wataalam' siyo wa kisayansi, ni walaji tu wa samaki. Tena wengine wanatafuna na mwiba wenyewe, ila 'don't try at home', unless ni mlaji mzuri wa hao samaki wenyewe!
 
Ndo hivo mnene 1 hili shurti ni lenyewe hasaaa huku kwetu Pwani...

FL1 simlaumu mnene hata miye ningekuwa na papara nimgeuze tu alivo na mvuto sasa tabu inakuja kuwa ukimgeuza unaweza kuwa umeharibu!
 
KAZI YOTE YA NINI DINA UKIKUCHOMA WAKATI WA KUTOA?:gossip:

Haa haa, hasa si ndio tunatafuta ufundi wa kumla huyo samaki? kama ni yule mwenye mwiba unaoonekana, unatoka vizuri tu wala hauna shida.....Though I don't practice what I preach, nakula penye mnofu nnapopaona, uongo?
 
huyu shurti lake akiliwa upande mmoja unageuzia mwigine ..hata kichwa kinaliwa binamu ..ikiwezekana na mifupa kama meno yako ni meupe na yenye nguvu ..kwa raha zako
we nawe umo umo,mshaurini arudi bara huyu watampoteza.
 
FL1 simlaumu mnene hata miye ningekuwa na papara nimgeuze tu alivo na mvuto sasa tabu inakuja kuwa ukimgeuza unaweza kuwa umeharibu!

ila hapa binam hujafafanua...wewe ni samaki yupi ulikuwa unataka kumla, kwa sababu kuna lobster, pweza, changudoa, ngadu n.k na kila mmoja ana ulaji wake...hebu tupe mmoja tuhangaike nae
 
Hata najua sababu basi, na wala sikuhangaika kuuliza. Mind you 'wataalam' siyo wa kisayansi, ni walaji tu wa samaki. Tena wengine wanatafuna na mwiba wenyewe, ila 'don't try at home', unless ni mlaji mzuri wa hao samaki wenyewe!

duh apo nimesoma katikati ya mstari nadhaninaanza kuelewa elewa........
 
Wataalam wanadai samaki hageuzwi, bali unautoa ule mwiba wake wa kati, halafu unaendelea kumla.

Mmh jamani, I hope ni samaki yule yule wa majini ndio tunamzungumzia, isije ikawa kuna tafsida ndani yake!
wewe ni mtaalam haswa,kwa maelezo haya naomba uje unifundishe kivitendo maana hata mimi naona geuza geuza waweza chelewa.
 
ila hapa binam hujafafanua...wewe ni samaki yupi ulikuwa unataka kumla, kwa sababu kuna lobster, pweza, changudoa, ngadu n.k na kila mmoja ana ulaji wake...hebu tupe mmoja tuhangaike nae

samaki ni samaki binamu...kama aliyemweka FL1 apo.....enhe? any ideas
 
ila hapa binam hujafafanua...wewe ni samaki yupi ulikuwa unataka kumla, kwa sababu kuna lobster, pweza, changudoa, ngadu n.k na kila mmoja ana ulaji wake...hebu tupe mmoja tuhangaike nae

naomba somo jinsi ya kula hao wawili kwenye RED hapo!
 
nadhani anamzungumzia samaki changu au tasi,hao wengine uliowataja huwa hawana kazi kuliwa.
 
duh apo nimesoma katikati ya mstari nadhaninaanza kuelewa elewa........

Mmh, pamoja na kusoma katikati ya mistari, I hope bado ni kwa ajili ya samaki wa ferry...zisije mada zetu zikawa zimekinzana!
 
naomba somo jinsi ya kula hao wawili kwenye RED hapo!

november juliet oscar oscar november yank uniform mike bravo alfa november india november india kilo uniform papa india kilo india echo
 
Binamu post yako imekaa kimtegomtego na wanaoijibu nao wanajibu kimitegomitego haya niendelee kuisoma mie nijijulia namna za kumla huyo samaki wa pwani.....................
 
Back
Top Bottom