Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Kinje alikua nae zamani wakati kinje yupo well financially , alikimbiwa baada ya kufulia

hata sasa Hana hela huyo kinje , bi dada hawezi kuludi
Duuh.. nahisi wewe nawe ni celebrity?.. Maana una waelewa, nikutafute uwe unanipa ubuyu mkuu?
 
Tafuta hela mkuu Ubuyu utakusaidia nini Mkuu,au una miliki magazeti ya udaku?

huku JF wengine Tunaingia kujipoza na kujifuraisha baada ya kupigwa na Jua kali la siku

Dar ni kubwa lakini ni ndogo tunajuana kimjini mjini
Sawa mkuu .. salute
 
Shida za madada zetu hawajiongezi, wanajisahau wakiwa na madon, Mengi kama matajiri wengine hawapendi pesa walioitolea jasho ipotee kizembe, at a Ku treat vizuri, kodi ya ofisi atalipa, mishahara ya wafanyakazi atalipa, utajisahau, siku akiondoka lazima uanze back to square one, coz huna mpango Wa biashara
 
Uongo mtupu hapa....
 
Mambo ya kutunga ili kuharibu image ya mtu kisa ugomvi wa mali za marehemu. Pathetic
 
Tujifunze Mwanamke yoyote yule hata kama humpendi lakini Baba yako Mzazi amempenda na Kaamua Kumuoa tena mpaka Kuzaa nae utake usitake huyo ni Mama yako au Mama yenu tu vinginevyo utakuwa unajitafutia Laana ya bure kutoka kwa Baba yako. Katika Sakata la hawa hakuna Mshindi au Mshindwa ila kikubwa Kwao ni Kushirikiana, Kupendana na kama kuna Makosa basi wasameheane na Maisha yaendelee tu.
 
Mengi alimjengea shule huyo dada, na ana miradi mingine mikubwa tu

Ile shule haikufikisha hata mwaka Ikafa😀😀, huyo mwanamke udangaji upo kwenye damu hawezi business anapenda kuongwa

duka la furniture kauza, alitaka auze na bonite will yake fake ingetik✅
 
Unamjua kyln unamsikia ?? Anataka kutunishiana misuli na wamachame aliambiwa Wakae chini wamalize akakataa anataka will fake ifatwe apewe yeye kila
Kitu sijui anajikuta nani 🤣🤣🤣

ndio maana yakafika mahakamani.
Simtetei Jacqueline au Watoto wa Marehemu Mengi, ila ninachojua tu ni kwamba Wote wana Haki na Kikubwa tu Maelewano ili Amani iendelee.
 
Maelewano hapo hakuna wenye mali wanamiliki mali yao yeye yupo kama beki tatu,wanaweza kumpa salary kwa mwezi au pesa ya matumizi tu na asifanye kitu
Duh huyo kylin hayuko vzuri kiuchumi sasa ndio maana akaanzisha sijui beauty legacy Ili apige pesa, mbaya zaidi urafiki na kundi lao umekufa, namhurumia Sana why alifake will alifikiria Machame huwa kunaendeka kirahisi na yeye mkigoma, dah I pity her wallah, nuru yote imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…