"Unajenga tabia kisha tabia inakujenga"
tatizo dada yetu yeye ni mdangaji (mjasilia Mbunye) ni vigumu kuwa na akili za kijasirilia mali kishazoea kuvuna kupitia mbunye,ndio maana kipindi kile anapewa mabilion na mzee Mengi akafanye biashara,yy akazitapanya na kula bata.
Ila kama angekuwa type za wanawake wale wenye vision na idea,sasa hivi angekuwa na hela nyingi sizani kama angefikiria huo urithi,yaani kwa mwaka angekuwa na uwezo wa kutengeneza zaidi ya mil 500 kipitia miradi yake binafsi.
Ndio tabu ya wadada wa siku hizi wa mama wa zamani wana mahesabu makali,kuna mmama moja ni nyumba ndogo ya mzee mmoja alikiwa shirika la bima sasa hivi kishatumbuliwa,yule mmama ana maduka ya jumla ya vinywaji matatu na kampuni yake ya mapishi,pamoja na mzee kufulia yy bado haja tetereka.
Mimi nina uhakika huyu hata akipewa urithi wote wa mzee Mengi,ataishia kuzitapanya mali na kudhulumiwa tu.