Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
Ulivyo andika ni as if Jacky hana haki yoyote na anapaswa kuwanyenyekea wakina Regina ili aweze kupata haki zake
Kwa vyovyote vile Jacky ni mke halali wa marehemu anastahiki zote na mali za marehemu hadi pale mahakama itakapo fanya mgao kila mtu aendelee na maisha yake
Wanachofanya watoto wa marehemu ni ubabe dhidi ya mjane wa marehemu
Wangekaa naye tu chini wakayajenga akapewa kitengo ipp media maisha yangekuwa mepesi tu
Sema sasa watoto hawamkubali mama yao toka baba akiea hai
Amekufa imekua balaa
Apewe kitengo afanye kazi gani na form four yake ya division zero labda kuandalia chai wageni😂😂😂 au atoe Nyimbo mpya wampe promo
IPP hakuna mashindano ya umiss pale ni kazI tu na akili kubwa