Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi


Apewe kitengo afanye kazi gani na form four yake ya division zero labda kuandalia chai wageni😂😂😂 au atoe Nyimbo mpya wampe promo

IPP hakuna mashindano ya umiss pale ni kazI tu na akili kubwa
 
Aiseee haya mambo kumbe bado yapo.? Jaq ana biashara zake yule dada za urembo/nguo , i don't think kama anamtegemea 100 pasee Regina/Abdiel ,halafu Jaq hawezi kukosa danga la kumpa mikwanja hapa town.

Kwa hiyo mnashauli aendelee kuishi kwa kutegemea madanga adi lini sasa?

danga akifa analudi tena kwenye msoto
 
Hayakuhusu
 

Alipewa mtaji billions of money akaishia kua fundi Selemala Nyingine akala bata na wakina Nancy Sumari Dubai na Paris huko nani Tanzania hii ataendea kununua sofa set za million ishilini zA kutengeneza mtaani Aache kwenda China au turkey au kuchonga kwa kina home desire

alitegemea will yake fake ingemtoa ndio maana alijaisahau kufanya investment
 

Sasa watoto anasomeshewa tena IST na allowance ya Usd 2000 kwa mwezi ni karibu milioni 5 hiyo.. sasa milioni 5 kila mwezi kwa maisha ya kibongo kitunguu kisado hakifiki hata 5000 milioni 5 nyingi sana hata branch manager wa benk halipwi net hiyo kwa mwezi... yaani hiyo kula tu maana nyumba anaishi ya mume wake bado hakuna kodi.
Child support tu inamtosha kula bata yeye na watoto wake. Maana ni kubwa sana kwa maisha ya kibongo
 
Aiseeee
Inaelekea unamfahamu kindaki ndaki huyu mlimbwende?
 

Hiyo pesa Ni nyingi sana kama Una maisha ya wastani ila yeye anakosa hela ya kuwapa entertainment Mashoga zake na viserengeti boys vyake Na dada ake

Handbag na viatu alikua ananua za usd 10000 per pair na kuendelea Bado tea party za Hyatt na Serena kila week end
 
Kwani hii kesi ya mirathi haijaisha bado?
 
Mil 5 kwa jack ndogo sana ni kama matumizi ya wiki moja tu. Gharama za party zao na kuslay ni kubwa
 
Aiseee haya mambo kumbe bado yapo.? Jaq ana biashara zake yule dada za urembo/nguo , i don't think kama anamtegemea 100 pasee Regina/Abdiel ,halafu Jaq hawezi kukosa danga la kumpa mikwanja hapa town.
And that's the question..Jack hawezi kukosa danga town hapa,bado kuna mafisi maji wanamrondea lazima..urembo bado upo,arudi kwenye fani yake kama mirathi ngoma imekuwa ngumu
 
Mara nyingi watoto kumkubali mke wa baba inategemea uyo mama yukoje na hao watoto! Mi sidhani kama ilitokea tu bila sababu
 
Nasikia kashauza iyo ya furniture
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…