Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Aiseee haya mambo kumbe bado yapo.? Jaq ana biashara zake yule dada za urembo/nguo , i don't think kama anamtegemea 100 pasee Regina/Abdiel ,halafu Jaq hawezi kukosa danga la kumpa mikwanja hapa town.
Ulivoandika as if mdada yaan...kumbe libaba lizima lenye midevu...punguza kusoma umbbea esp kwa da mange wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nafikiri kuoa mzungu ni taabu kwelikweli. We fikiria vile ndio umerudi kutoka kazini umechoka halafu tena uanze kuongea kiingereza. Dah!
Au akupeleke kwao na wakwe wakusute Kiingereza, duniani tumeumbiwa mateso.
Wakikuweka mtu kati kwa Kiingereza lazima ufe.
Mimi mwanaume mzima siwezi nunua kabichi niibebe mkononi.

Heri niipige danadana mpka nyumbani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi mtu unawezaje kuwasema watu ambao hawakuhusu yaan binadamu bhana.
 
Sema alikuwa anapewa 40m ila alipozidisha kimbelembele akapewa 12m.
 
Aiseee haya mambo kumbe bado yapo.? Jaq ana biashara zake yule dada za urembo/nguo , i don't think kama anamtegemea 100 pasee Regina/Abdiel ,halafu Jaq hawezi kukosa danga la kumpa mikwanja hapa town.
Waziri?
 
Kwa nini unamuonea huruma kutoka na mi dewji.
Mo si bilionea?
 
Kwa nini unamuonea huruma kutoka na mi dewji.
Mo si bilionea?

Moo Dewji tajiri wa mapicha picha hawezi kumuonga hata million tano , Ana hela za kawaida na ni mbahili kufulu ya Mungu

alimkula rafiki yangu akampa laki moja tu 😂😂 rafiki alijua kapata bonge la boyfriend na Moo anapenda sana nyuma, muulizeni mobeto sasa kylin nyuma flat
 
Ndo alipo fail mama wawili hapo tyuuuh, ange plan biashara ambayo hata mwajuma ndala ndefu au John kaptura kiraka wanachangia sent zao, ange ivest pakubwa mnooh.
Na Hawa mwajuma ndala ndefu ndio customers wengi, ujue nchi hii kipato Cha wengi Kiko chini ndio maana baharesa anatajirika tu na kuuza kwake lambalamba
 
Duh!Nioneshe rafiki zako nikusimulie hadithi fulani 😂😂😂😂
 
Mbona kafanyiwa mengi na makubwa Hana shukrani huyu si alitoka na kunanga kuwa anateswa kisa mjane, Ila Bora hyo will take haikufatwa maana kila kitu kingekufa kabla hata ya mwaka kufika
 
Ulivoandika as if mdada yaan...kumbe libaba lizima lenye midevu...punguza kusoma umbbea esp kwa da mange wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshikaji naona unanifuatilia sana as if namgonga mkeo,acha usengelema wewe MAKI,bado tu una mambo ya kingese mwanamme mzima nywele hadi kwenye MNDUKU unafatilia wanamme wenzako wanavyocomment.
 
Naskia Mo bahili hatari haongi ndio maana wadada wanamkimbia,[emoji23][emoji23] huyo rafiki ako nadhani alijuta,
Ila mobeto kashindika kutoa mpalange wake nadhani alitoa huko akapata Yale matangazo machache baada ya kumwaga hamisa ameacha na kushabikia Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…