Kulala chini/katika zulia muda mrefu kuna madhara?

Kulala chini/katika zulia muda mrefu kuna madhara?

mwanausangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2021
Posts
548
Reaction score
608
Wadau salama,

Nina swali kidogo hapa nahitaji msaada! Je, kulala katika zulia/carpet kwa muda mrefu kunaweza kuwa na madhara huko mbeleni ya kiafya?

Nawasilisha
 
Mimi niishawahi kulala kwenye zulia kwa miaka miwili nikiwa A level, nilikua kiongozi wa msikiti wa shule. Ingawa palikuwa na magodoro. Usafi ulikuwa poa na ni ukanda wa pwani vumbi hivyo adhi yake nikichanga. Baridi kawaida
Sikuzurika
 
Mimi niishawahi kulala kwenye zulia kwa miaka miwili nikiwa A level, nilikua kiongozi wa msikiti wa shule. Ingawa palikuwa na magodoro. Usafi ulikuwa poa na ni ukanda wa pwani vumbi hivyo arthi yake nikichanga. Baridi kawaida
Sikuzurika
Hata mm A level nlilala sana kwenye mazulia msikitini, sidhani kama palikuwa na madhara wakati ule hata viungo kama mgongo havikuonekana kuuma
 
Back
Top Bottom