mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
Uliuza Godoro kutokana na Kupigika?Wadau salama,
Nina swali kidogo hapa nahitaji msaada!je kulala katika zulia/carpet kwa muda mrefu kunaweza kuwa na madhara huko mbeleni ya kiafya?
nawasilisha
We jamaa achana na hayo mambo basUliuza Godoro kutokana na Kupigika?
Hahahahaha swaLi zuriUliuza Godoro kutokana na Kupigika?
Hata mm A level nlilala sana kwenye mazulia msikitini, sidhani kama palikuwa na madhara wakati ule hata viungo kama mgongo havikuonekana kuumaMimi niishawahi kulala kwenye zulia kwa miaka miwili nikiwa A level, nilikua kiongozi wa msikiti wa shule. Ingawa palikuwa na magodoro. Usafi ulikuwa poa na ni ukanda wa pwani vumbi hivyo arthi yake nikichanga. Baridi kawaida
Sikuzurika