Kuna nchi, but nchi hiyo ni Japani?
Sifikiri culture ni lugha, lakini bila ya kujua lugha kuielewa culture ya mtu ni ngumu sana. Ku-observe tu au kupata mkalimani tu akakuambia anachotaka yeye kuhusu culture ndio kunakosababisha kupata biased opinion na ndio maana maelezo yake yamekuwa na dosari nyingi.
Mara culture inalazimisha watu wasifanye kazi, mara kumbe inawaruhusu kufanya kazi zisizo professional, mara hawendi kazini wakiolewa tu, mara wanalazimika kuchukua likizo ndefu wakizaa (which means walikuwa wakienda kazini walipoolewa hadi kufikia kuzaa), mara hawafanyi kazi wakizaa, mara mbongo alikuwa akipeleka day care ambayo na wajapani wengine wanapeleka . Contradictions after contradictions.