Huku kulala nikiwa nimevaa viatu inatokana na adha ninayoipata mara baada ya kuvua viatu nikirudi nyumbani,huwa nawashwa na kuamua kujikuna kiasi cha kutokwa na damu.
Naombeni ushauri niondokane na tatizo hili!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.