kev the don
Member
- Aug 3, 2014
- 33
- 6
Habar zenu wanandugu mimi mwenzenu nina tatizo moja la kulala kupitiliza yan bila break mfano siku za weekend ambazo sina kazi huwa nazitumia kulala tu mpaka najiuliza naumw ama vp? Nkilala saa 6 usiku bas kesho huamka sa 8 mchaana na nikiamka hapo naoga kula narud tena kulala msaada tafadhali