Kulala sana ni ugonjwa?

Kulala sana ni ugonjwa?

ukioa watakugegedea mke manake akiwa anhitaji we unalala tyuuuuuuuuuuu.......
 
1. Issue hapo ni STRESS(msongo wa mawazo) hali hii huweza pelekea kukosa usingzi au kulala kupta kiasi pia STRESS hupelekea mtu kukosa hamu ya kula au kula kupita kiasi hivo mtu mwenye STRESS huweza kukonda au kunenepa waweza shangaa it iz too psychological 2. Pili ni kuhusu conditioning yaan kujenga tabia kwa kurudiarudia ki2 kilekile kwa muda mref mf. Kama huwa unalala kwa maana ya kurefresh kisha ukaoverdo bas akili yako itajifunza kuwa kulala ndio refreshment pekee hvo haihitaji habar nyngne yoyote (ADDICTION) hapa mhuska ataanza kulala bila kupenda hata umwambie tutoke kwake ni upuuzi m2pu leta habr ya kulala kwa akili yake ndio starehe. Ni sawa m2 aki overdo matumizi ya social networks kama Whssap basi matokeo huwa yaleyale ADDICTION (uteja) wa Tz wengi 2po hapa. Nkirud kwenye issue ya kulala waweza sema mbona huwa nalala kwa hiari ni kwel hata watumiaji wa madawa ya kulevya hawalazmishw na m2 licha ya kuwa hawapendi it is psychological issue. Siwez andka kla k2 so hayo ni makisio mawili ya chanzo cha tatzo lako unadhan upo kundi lipi USAIDIWE!

Kweli kabisa na ulichoandika nkiwa na stress basi nafuu yangu ya kuziondoa ni kulala pia kama nikiitaji kurefresh ninatumia kulala na niko addicted kweli , sasa kisaikolojia hii ni mbaya ama vp?
 
Ndugu yangu STRESS si shda bt the issue iz how to supress, hata mtu anaponusulika kugongwa na gar anacho kipata pale ni STRESS, kwa kuwa hakugongwa bas STRESS huondoka muda mfupi baadae yaweza kuwa hata baada ya dakka 2. Hvo shda ni ikiwa utakaa na STRESS muda mref waweza ingia hal inayoitwa DEPRESSION(mfadhaiko) japo cna uhakika kama ni sawa kuita hvo kwa kiswahl. Kwa ujumla parmanent STRESS(depression) ina madhara kiuchumi,kijamii na hata kiafya. Nlijarbu kubashili chanzo cha wewe kulala umenambia STRESS ila cjajua chanzo cha STRESS lakn pia umeulza madhara ya kulala muda mref Ikiwa kulala kunatumika kama tiba kumalza tatzo hlo na hakuna matokeo basi ni sawa na kupewa doze ya kchwa ilhal unaumwa tumbo si tu huta pona bal utapata matatzo mengne kutokana na doze hyo kwa mfano umejarbu kulala hadi ukapelekea ADDICTION na kwakugundua tu kuwa kulala kwako si kwa kawaida In It self it iz a psychological problem hvo kuweka waz chanzo cha STRESS ni kitu cha msingi. Kwan kama hukupata STRESS kwa kushnda macho muda mrefu bas itakua ngumu kuziondoa kwa kulala, hata ukatembelea mbuga za wanya waweza rudi na STRESS zako kwan hukuzipata kwa kutoona fisi au sungura muda mrefu. Issue ni chanzo hvo ikiwa kulala au kumuona fisi kutasaidia wewe kujisahaursha kile kilichokufanya upate stress hapo sawa.kwa hyo issue ni chanzo ilikupata njia mbadala kwan hiyo ya kulala iliuondoe STRESS imeshndwa u hit out of target thats why u onl have been ADDICTED.
 
No money no job I think ndo chanzo cha stress, na nafkir nkipata hata kazi hiyo kulala itapungua but kwa sasa nafuu ndiyo hiyo na ni kweli nimekua addicted kiasi kwamba si hali ya kawaida
 
Back
Top Bottom