Kulala sana ni ugonjwa?

kev the don

Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
33
Reaction score
6
Habar zenu wanandugu mimi mwenzenu nina tatizo moja la kulala kupitiliza yan bila break mfano siku za weekend ambazo sina kazi huwa nazitumia kulala tu mpaka najiuliza naumw ama vp? Nkilala saa 6 usiku bas kesho huamka sa 8 mchaana na nikiamka hapo naoga kula narud tena kulala msaada tafadhali
 
Hauko mwenyewe....mimi weekends ijumaa mfano nikilala saa saba usiku naamka saa sita mchana...kesho yake..nikiamka apo ntakula saa 11 jioni..au saa 12 ndo ntaskia njaa.. ofisini reporting time ni saa 7:30 asubuhi lakini mi nishapewa exception..naingia saa mbili asubui..
halafu sina apetite kabisa..ninavoandika hii comment sijala tangu jana saa 12..na wala sisikii njaa..
 
He majanga. Mi kwa uelewa wangu kuna vitu viwili hapo moja ni mazoea na mbili ni ugonjwa.
Pale ambapo akili inakwambia sasa unamuda wa mapumziko ndipo unaweza ukalala sana kupita kiasi na ukajizoeza kuwa unalala hivyo mara nyingi.
Lakini mbali na hayo kuna ugonjwa wa kusinzia ambao si lazima iwe usiku huo ni muda wowote ukipata pozi la dk moja tayari cha kwanza ni usingizi.
Lakini kwa maelezo yenu inaonyesha sio ugonjwa ni mazoea tu hayo ndo maana manweza kulala saa 6 usiku.
 
Aiseee kama ni ugonjwa nahisi mie wangu umeishakomaa maana nalala kupita kiasi
 
lakini si unalala weekend tu, kwa iyo hamna tatizo jitahidi at least ulale kuanzi ijumaa usiku mpaka jumapili
 

Sure nkiwa kweny shughuli zangu hta kusinzia siwez natoka alfajir na kurud ni usiku
 
Aiseee kama ni ugonjwa nahisi mie wangu umeishakomaa maana nalala kupita kiasi

Hahahahahaahah mie ndio mwenzio kipindi nasoma naweza rudi shule nkalala hadi jioni naamshwa kula nalala tena hadi asubuhi
 
Aiseee kama ni ugonjwa nahisi mie wangu umeishakomaa maana nalala kupita kiasi

Yani ww unishind mimi, mwenzako mpaka mtaani hawanijui nkitoka alfajir kurud usiku wekeend ndo namalizia uchovu wote likizo ndo kabisaa km nimepigwa sindano ya dozi.
 

Aise mi naona una bahati, kuna wengine tushaambiwa siku tukikataa chakula muda wa kuitwa mbele za haki umekairbia.
 
For that kesi basi sio ugonjwa.

Yah si ugonjwa nimeshapata jibu kua ni mazoea na ni kwel mimi tokea mdogo kulala sana imekua kama hobbie vile maana nikilala raha nnayoipata haina mfano
 
Ndio kulala ni ugonjwa.
Kwa jina lingine unaitwa umasikini..
 
Kama J3 hadi Ijumaa hulali kupitiliza, hiyo ni conditioning. Ila kama ni usingizi wa kushondwa kujizuia mwili umezidiwa, mazoezi yanaweza kuusaidia mwili kuwa active
 
sio wewe tu mkuu mimi mwenyew napenda sana kulala.Kuna siku sitasahau nililala saa mbili usiku mara baada ya chakula nikaamka kesho yake saa saba mchana mzee wangu ndo anarudi kula chakula cha mchana toka kazini anakuta naenda kuoga bafuni alinimind sitasahu..Ila baadae ilibidi home wazoee tu.
 

Yan mimi nkilala hata hawanisumbui washanizoea na chai yangu huwa ni mchana mara nyingi ninapoamka kama ntakuta poro, ugali, mkate vyote ni halali yangu
 
1. Issue hapo ni STRESS(msongo wa mawazo) hali hii huweza pelekea kukosa usingzi au kulala kupta kiasi pia STRESS hupelekea mtu kukosa hamu ya kula au kula kupita kiasi hivo mtu mwenye STRESS huweza kukonda au kunenepa waweza shangaa it iz too psychological 2. Pili ni kuhusu conditioning yaan kujenga tabia kwa kurudiarudia ki2 kilekile kwa muda mref mf. Kama huwa unalala kwa maana ya kurefresh kisha ukaoverdo bas akili yako itajifunza kuwa kulala ndio refreshment pekee hvo haihitaji habar nyngne yoyote (ADDICTION) hapa mhuska ataanza kulala bila kupenda hata umwambie tutoke kwake ni upuuzi m2pu leta habr ya kulala kwa akili yake ndio starehe. Ni sawa m2 aki overdo matumizi ya social networks kama Whssap basi matokeo huwa yaleyale ADDICTION (uteja) wa Tz wengi 2po hapa. Nkirud kwenye issue ya kulala waweza sema mbona huwa nalala kwa hiari ni kwel hata watumiaji wa madawa ya kulevya hawalazmishw na m2 licha ya kuwa hawapendi it is psychological issue. Siwez andka kla k2 so hayo ni makisio mawili ya chanzo cha tatzo lako unadhan upo kundi lipi USAIDIWE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…