Ndugu yangu STRESS si shda bt the issue iz how to supress, hata mtu anaponusulika kugongwa na gar anacho kipata pale ni STRESS, kwa kuwa hakugongwa bas STRESS huondoka muda mfupi baadae yaweza kuwa hata baada ya dakka 2. Hvo shda ni ikiwa utakaa na STRESS muda mref waweza ingia hal inayoitwa DEPRESSION(mfadhaiko) japo cna uhakika kama ni sawa kuita hvo kwa kiswahl. Kwa ujumla parmanent STRESS(depression) ina madhara kiuchumi,kijamii na hata kiafya. Nlijarbu kubashili chanzo cha wewe kulala umenambia STRESS ila cjajua chanzo cha STRESS lakn pia umeulza madhara ya kulala muda mref Ikiwa kulala kunatumika kama tiba kumalza tatzo hlo na hakuna matokeo basi ni sawa na kupewa doze ya kchwa ilhal unaumwa tumbo si tu huta pona bal utapata matatzo mengne kutokana na doze hyo kwa mfano umejarbu kulala hadi ukapelekea ADDICTION na kwakugundua tu kuwa kulala kwako si kwa kawaida In It self it iz a psychological problem hvo kuweka waz chanzo cha STRESS ni kitu cha msingi. Kwan kama hukupata STRESS kwa kushnda macho muda mrefu bas itakua ngumu kuziondoa kwa kulala, hata ukatembelea mbuga za wanya waweza rudi na STRESS zako kwan hukuzipata kwa kutoona fisi au sungura muda mrefu. Issue ni chanzo hvo ikiwa kulala au kumuona fisi kutasaidia wewe kujisahaursha kile kilichokufanya upate stress hapo sawa.kwa hyo issue ni chanzo ilikupata njia mbadala kwan hiyo ya kulala iliuondoe STRESS imeshndwa u hit out of target thats why u onl have been ADDICTED.