john b kimatare kimaro
Member
- Aug 4, 2014
- 20
- 36
SahihiMo Dewji ni mwekezaji wa simba sport club kwa hisa 49% kwa nini analalamika?
1. ucheleweshaji wa mchakato wa mabadiliko
2. Upande wake umeshatimiza matakwa mahususi
3. Upande wa wanachama bado hautekelezi kinachohitajika katika hisa 51%
Ni wakati wa wanachama wa simba kumuunga mkono mo na kuahakikisha mchakato unakamilika haraka na hao waoukwamisha wanapewa onyo kali .
Mchakato ukikamilishwa wanacahama watakuwa na uwezo wa kuongeza mtaji kwenye club kwa kununua hisa na kupata faida ya gawio kila mwaka
Jambo la ajabu ni kwamba Mo akiongea ukweli watu wanamjia juu. Hoja inatakiwa ijibiwe, sio kumshambulia mtoa hoja. Je, si kweli kwamba mchakato umekaa miaka sita na hauendi mbele? Je, si kweli hali hiyo inaweza kumkatisha tamaa hata mwekezaji mwingine yeyote ukiacha Mo?Ni wakati wa wanachama wa simba kumuunga mkono mo na kuahakikisha mchakato unakamilika haraka na hao waoukwamisha wanapewa onyo kali .
Wewe ni mpuuzi mwenzie tu.Huko tweeter anamwambia nani?Jambo la ajabu ni kwamba Mo akiongea ukweli watu wanamjia juu. Hoja inatakiwa ijibiwe, sio kumshambulia mtoa hoja. Je, si kweli kwamba mchakato umekaa miaka sita na hauendi mbele? Je, si kweli hali hiyo inaweza kumkatisha tamaa hata mwekezaji mwingine yeyote ukiacha Mo?