Kulalamika kwa MO Dewji

Kulalamika kwa MO Dewji

Joined
Aug 4, 2014
Posts
20
Reaction score
36
Mo Dewji ni mwekezaji wa simba sport club kwa hisa 49% kwa nini analalamika?
1. ucheleweshaji wa mchakato wa mabadiliko
2. Upande wake umeshatimiza matakwa mahususi
3. Upande wa wanachama bado hautekelezi kinachohitajika katika hisa 51%

Ni wakati wa wanachama wa simba kumuunga mkono mo na kuahakikisha mchakato unakamilika haraka na hao waoukwamisha wanapewa onyo kali .
Mchakato ukikamilishwa wanacahama watakuwa na uwezo wa kuongeza mtaji kwenye club kwa kununua hisa na kupata faida ya gawio kila mwaka
 
Sahihi
 
Jambo la ajabu ni kwamba Mo akiongea ukweli watu wanamjia juu. Hoja inatakiwa ijibiwe, sio kumshambulia mtoa hoja. Je, si kweli kwamba mchakato umekaa miaka sita na hauendi mbele? Je, si kweli hali hiyo inaweza kumkatisha tamaa hata mwekezaji mwingine yeyote ukiacha Mo?
 
Wewe ni mpuuzi mwenzie tu.Huko tweeter anamwambia nani?
Kama ameshindwa aondoke,club i collapse kisha apatikane mwejezaji mwingine.

Aache ujinga hata watu wa Barrick wanaweza kuichukua timu.
Mimi binafsi ninachangia kiasi kikubwa cha pesa,kwa nini huyu mtu maskini mwenzetu atusumbue.Tajiri mwenye tabia za kifukara fukara wa nini?
 
Tanzania hakuna kitu tunacho KIWEZA zaidi ya Ubabaishaji.

YANI ni Full ubabaishaji

Hakuna secta wala wizara ya KUJIVUNIA kwa Miaka 60 ya Uhuru.
 
Back
Top Bottom